Acha kuota kabla ya kulala, hapa anshindanishwa na watoto wenzake, Zitto na Lipumba, halafu si unajua synovate ni wachakachuaji inawezekana Zitto anaongoza.[/QUOTE
ARE U IN COMA!SOMA VIZURI NA UELEWE
hayo ni mawazo yako na yanakuwakilisha wewe, ila wengine nao wameona kuwa pinda anafaa kuwa rais. so usijifanye wewe ndo kila kitu, you are just a single one.
Watu walio hojiwa ni 1994 kati ya wapiga kura 13,000,000 hii ni sawa na asilimia 0.00015. Duh kweli hamna kitu hapo, ni ubabaishaji wa hali ya juu ndungu zanguni
False Hopes!! Wangejua kuwa hata ndani ya CDM asilia Padre hana nafasi ya kuteuliwa tena na chama kuwania urais...yaliyotokea nyuma ilikuwa ni 'a ploy' ya kumdhibiti na kufifisha umaarufu wake, kwani walijua asingeshinda, ili come 2015 mteule wao mpendwa apitishwe kiulainiiiiiii! we kalaga baho!.M said:Why today?
but chadema hawajui kuwa kuna wana ccm wako tayari kuwapigia kura
wao wanafikiri wana ccm wote ni mafisadi....[/QUOTE]
nani kasema hili?? wanaoshabikia na kuitetea serikali ya CCM ni mafisadi pia, maana wanatetea ufisadi, wapo wana CCM wafu, wamebaki na kadi tu, miili yao ipo CCM lakini roho zao zipo nje, (sijasema zipo CDM). nawashauri wahamie CDM km wameona sera zao CDM ni nzuri.

Something raises suspicion on Synovate's researchs credibility. One would inquistively question as to why should it be conducted at this point of time. Amid the electricity dearth conundrum and wide criticism against Kikwete's staggering government, this implausible research is seemingly cooked in an attempt to mollify anger among the folks, and nothing else.