Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji
 
expand...
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
Jamiiforums Ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike

Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote Cha utawala wa Magufuli mwezi Kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November Hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es salaam

Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai Ni kawaida kipindi Kama hiki Cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme.Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote Cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko Kama sasa

Tafsiriri yake Nini ?
FANYA PIA UTAFITI NJE YA JAMII FORUM ILI TUJUE KAMA NCHI YETU ILIWAHI KUSHUHUDIA UKAME KAMA HUU KUPINDI HICHO. UTUJUZE
 
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
Jamiiforums Ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike

Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote Cha utawala wa Magufuli mwezi Kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November Hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es salaam

Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai Ni kawaida kipindi Kama hiki Cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme.Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote Cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko Kama sasa

Tafsiriri yake Nini ?
Nchi imekosa uongozi madhubuti,tumerudi enzi za ubabaishaiji
 
Hongera Mkuu kwa mada yako..

Katika mamia ya Mataga Buku SBA waliokuwemo humu ...Ni wewe tu Umebaki Kutuletea Upuuzi!
 
Jamiiforums Ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike

Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote Cha utawala wa Magufuli mwezi Kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November Hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es salaam

Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai Ni kawaida kipindi Kama hiki Cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme.Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote Cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko Kama sasa

Tafsiriri yake Nini ?
Kamfufue
 
Nikupe jibu kitu ambacho Ni very interesting

Kipindi Cha utawala wa Kikwete umeme ulikuwa ukikatika katika Sana na maji kusumbua Kama sasa kipindi Cha Samia Hadi Kikwete akaagiza mitambo fisadi ya kufua umeme!! Kwa visingizio tunavyopewa leo ohh mifugo oh Mabadiliko Tabia nchi ohh kina Cha maji nk

Magufuli kuingia kasema Kuna hujuma Tanesco akaitupilia mbali mitambo ya kufua umeme ya kukodi na umeme ukawaka kipindi chote na maji sijui aliyatoa wapi yakawepo!!!

Matatizo ya kipindi Cha Kikwete mbona yanajirudia kipindi Cha Mama Samia? Yaliruka kipindi Cha Magufuli yamekuja kutua kipindi Cha Mama Samia Huoni.kuna tatizo kubwa Mahali?
Sawa kamfufue basi
 
Elewa mada inaongelea Nini badala ya kupost tu bila kujielewa .tunaongelea kipindi Cha November kila mwaka ambacho kinasemekana mito hukauka na mabwawa ya kuzalisha umeme kukosa maji na kusababisha mgao wa Maji na umeme
 
Nendeni kwenye kaburi lake we na gwajima mufufue..
Badala uwaze namna ya kudeal na hii hali we daily unamuwaz mtu ashakufa
Magufuli alielewa namna ya ku deal nalo akasema ni ufisadi tu hakuna Cha uongo wa kina Cha maji Wala mabwawa ya kuzalisha umeme kukauka Ni hujuma za kifisadi tu akawashuguulikia barabara mitambo ya IPTL na Dowans akaikataa kuitumia akashughulika na mifisadi ya Dawasa yenye miviongozi ya Dawasa ambayo ilikuwa na miboza migari ya kuuza maji.Maji yakawa yanatoka vizuri bila mgao .Miboza yao ikapaki

Sasa hivi Miboza ya migari yao ya kuuza maji imerufi inauza hasa sio utani
 
Naunga hoja mkono, ila kulikua na malalamiko ya miili ya watu kuokotwa kwenye viroba, wengine wakipotea tu, wengine wakiondoshwa kazini, wengine wakipewa kesi za uhujumu uchumi....katikati ya hayo yote hata umeme ukikatika utauwazia kweli??
Hao ni watu walio taka kumugujum
 
Back
Top Bottom