Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

tafsiri yake kuna viongozi katika awamu hii hawawajibiki ipasavyo! Ni kweli kipindi cha mwendazake hakukua na tatizo la umeme wala mgao wa maji! Na ninakumbuka aliingia madarakani november 2015 nchi ilikua katika ukame kama sasa
 
Nikupe jibu kitu ambacho ni very interesting

Kipindi Cha utawala wa Kikwete umeme ulikuwa ukikatika katika Sana na maji kusumbua kama sasa kipindi Cha Samia Hadi Kikwete akaagiza mitambo fisadi ya kufua umeme!! Kwa visingizio tunavyopewa leo ohh mifugo oh Mabadiliko Tabia nchi ohh kina Cha maji nk

Magufuli kuingia kasema Kuna hujuma Tanesco akaitupilia mbali mitambo ya kufua umeme ya kukodi na umeme ukawaka kipindi chote na maji sijui aliyatoa wapi yakawepo!

Matatizo ya kipindi Cha Kikwete mbona yanajirudia kipindi Cha Mama Samia? Yaliruka kipindi Cha Magufuli yamekuja kutua kipindi Cha Mama Samia Huoni.kuna tatizo kubwa Mahali?
Kabisaaaa, kuna tatizo mahali yaani kuna mambo yanakera sana nchi hiii basii tu!
 
Hiyo ndio furaha ya wapinzani uchwara wa nchi

Namwona fisadi Zito alivyo mwongo na tapeli anayejua anachokitaka na anapambana kupata

Mjue tuu watanzania wa sasa sio wale alokua akiwajua enzi zile

Tanzania ni tajiri
Huyo zitto anafahamika!!kuna watu wakiwa madarakani huezi kumsikia anawapinga!tunamjua tabia zake za..........
 
Hivi Gwajima si ana uwezo wa kufufuwa wafu?

Ni kwa nini asimfufuwe huyo mungu wenu shetani wa kuzimu badala ya kutupigia kelele hapa kila siku?

Stupid.
 
Ninashauri Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo Afanye Ziara Kwenye Vyanzo Vya Umeme Tanzania yote ahakikishe Uhaba wa Maji kama kweli upo au tunadanganywa. Na endapo tunadanganywa AONGOZE NCHI!
 
Kuna kipindi fulani Mzee aliwahi kusema kuna watu wanakata umeme kwa makusudi kuonekane kuna uhaba halafu linaundwa zengwe, kisha inaletwa kampuni ili izalishe umeme na kuliuzia shirika. Baada ya kulikemea hilo na kuahidi vibarua vyao kuviootesha nyasi lilikoma mara moja. na hata palipokuwa na maintenance ilifahamika.

changamoto huwa zipo hivyo tuendelee kuvumilia, ila wasilete ngonjera za kununua umeme kwa wazalishaji binafsi ili kufidia tatizo hapo lazima tuhisi ni upigaji maana tulipotoka tunapajua.
 
naunga mkono hoja
 
Tena huyo Tajiri Tanzanite ni pro CCM na pro JPM wa kutupwa.
YEHODAYA wewe ni muongo kama CCM mwingine yeyote. Hujafanya tafiti bali ni bla bla na uongo kama kawaida yenu.
 
Utafiti JamiiForums unaendelea

Kwa utafiti nikiofanya kwenye hii mada yangu niliyoanzisha Kama mwana CCM ya kukosoa Serikali yangu humu nimegundua kitu Cha aja

Upinzani hasa Wana Chadema wa humu JamiiForums ndio wanaongoza kupinga mada Yangu na kutetea msimamo wa serikali iliyopo sasa kwa nguvu hasa .Hadi Raha.

Kumbe yawezekana Chadema kuungana na serikali na kuachana na upinzani wao

Wamegeuka kuwa ndio watetezi wakubwa wa serikali ya Sasa kwenye hii mada yangu kwa wingi wao

.CCM hoyeeee .
 
JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike

Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam

Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa

Tafsiriri yake nini?
Kifupi jamaa wameanza kutuibia Tena Kama enzi za Msogagang.
Huenda hata ile mita ya kusoma mafuta bandarini imeshacuepushwa tena.

JK tuache tupumue!ulitutesa Sana na mgao enzi zako,hajaridhika mlizochuma?
 
Utafiti JamiiForums unaendelea

Kwa utafiti nikiofanya kwenye hii mada yangu niliyoanzisha Kama mwana CCM ya kukosoa Serikali yangu humu nimegundua kitu Cha aja

Upinzani hasa Wana Chadema wa humu JamiiForums ndio wanaongoza kupinga mada Yangu na kutetea msimamo wa serikali iliyopo sasa kwa nguvu hasa .Hadi Raha.

Kumbe yawezekana Chadema kuungana na serikali na kuachana na upinzani wao

Wamegeuka kuwa ndio watetezi wakubwa wa serikali ya Sasa kwenye hii mada yangu kwa wingi wao

.CCM hoyeeee .
We mjane wa mwendazake hata enzi za mungu wenu mgao na kukatika katika kwa umeme kulikuweponsana.
 
JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike

Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020 November nikaangalia vipindi vyote vya November miaka yote hakukuwa na malalamiko ya wananchi humu jamii forums ya tatizo la umeme kukatikatika nchi nzima Kama Wala la maji ya ratiba ya mgao Dar es Salaam

Nilifanya hivyo sababu wengine wanadai ni kawaida kipindi kama hiki cha November huwa na hiyo shida hivyo kuletelea shida ya tatizo la maji na umeme. Hilo lalamiko sikuliona kipindi chote cha Magufuli humu Jamiiforums watu wakiibua threads za malalamiko kama sasa

Tafsiriri yake nini?
Unajua kabisa kwa sasa Kila kinacho enda kombo wanamsingizia mwendazake,wtz nao wameacha washitukia kwa hiyo ngoma inogile owongo mwingii
 
Back
Top Bottom