Utafiti,mtu,watu,wanapokuwa mateka wa kisiasa.

boyayoparuparu

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
343
81
Mtu,watu wanapokuwa mateka wa kisiasa wa mtu au chama flani kwa muda mfefu,mateka hao wa kisiasa hufa wakiwa masikini kwa kukosa mahitaji,na kuwa hawana akili,mtu,watu wanapaswa kuwasikiliza wanwsiasa huku wakiwa na vichwa huru,iliwaweze kuutumia uhuru wao bila shinikizo kutoka kwa watu au chama lakini pia bila kuwa na shinikizo lilijijenga ndani yake kwa kuwa mateka.naomba ukanikusanyie data vijijini.
 
Ccm ndiyo wameteka wananchi sasa ni jukumu lao wenyewe kujiokoa Siku ya uchaguzi kwa kuipigia kura ukawa kwa wingi wa kutisha
 
Back
Top Bottom