Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

Wazungu wanataka kujustify ubaguzi wao. Kuzaliwa kwa mwanadamu ni kumoja iweje waje na huu upuuzi?
 
This nonsense,wrongly called research, is luciferian,unscientific,stupid,illogical,inhumane,ungodly,degrading to the African race,insulting and aimed at making us loose our self esteem.It's the same old colonial technique of trying to conquer Africa.

It is also aimed at justifying the ongoing genocide by the Illuminati of the African race by using various techniques including incurable diseases,hunger,drugs,climate change,wars,birth control techniques etcetera. I am frankly not surprised at this stupidity.Afterall Africa has been under siege since time immemorial.

The truth is,we are all one and made in the image of our almighty God.That is what the Bible teaches us.These are Satan's tacticts of divide and rule.

Mankind must unite against these very luciferian overtures.
 
Huu sio utafiti ni hasira tu. Kwanza huyo mzungu vitu vingi kasema uwongo. Atakua amekimbiwa na mke kaenda kwa mtu mweusi. Simnajua watu weusi wanaongoza kwa maumbile makubwa. Kwanza watu weusi walikua wafugaji,wakulima na wafua vyuma toka zamani za enzi. Great Zimbabwe,Misiri, Sudan na Ethiopia kulikuwa na majengo makubwa toka enzi za na enZi. Nimetaja Misri kwakuwa michoro yao wenyewe inawaonyesha ni waorange na brown kama waafrika na sio waarabu. Makabila hata ya hapa kwetu mfano wapare ni wafua vyuma kitambo tu.
Watu weusi wanauwezo mkubwa wa kuzaliana kuliko wazungu, wanauwwzo wa kuishi popote iwe jua iwe baridi bila kupata madhara kama wazungu. Jamii za waafrika zilikua wakulima na wafugaji na afrika ni kubwa sio kama ulaya so haiwez jengeka kirahisi hivo. IQ ni test ni uwongo tu. unamuuliza mmasai maswali ya physics badala ya ufugaji?
 
Huu utafiti umetuponda sana watu weusi, lakini bado nasema mimi ni mtu halisi, mtafiti kuna mambo mengi ameyaweka kuthibitisha low IQ zetu na lack of civilization.

Mengine ni kweli waafrika tunayo

Mkuu naomba source ya utafiti huu nikasome zaidi.
Ila utafiti umekaa kichochezi sana na inauma mno hasa kwenye mistari ya mwisho hapo
6d829ef59cc7c22f7676c20f5a9e125b.jpg
 
Nimekuwa interested na kale kaneno BLACK AFRICAN haijatajwa AFRICA in general

Sisi watu weusi tunamatatizo kwa kweli na mmungu alilijua hilo...japo ukwel upo na wanajua wanascience wote ya kwamba MTU MWEUSI ndio source ya BINAADAM wote waliopo kwenye hii DUNIA..
The current problem about being black starts with believing these lies which have been attributed by white race to undermine other races especially black race. Our problem starts by believing these lies, there no way you can become what you don't believe. Hakuna namna itakuwa mwelevu kama unaamini wewe siyo mwelevu. Hakuna namna utakuwa mvumbuzi kama unaamini huwezi kuwa.

Kungekuwa na kitu Kimoja kusaidia mtu mweusi to release his strength basi nikuchange mindset yake namna anavyoingalia Dunia and how things work.

Bahati Mbaya propaganda za watu weupe are becoming more dominant and we believe them.
 
Sio utafiti ni kitu kingine tu inabidi kitafutiwe jina.
Anaonekana kuendeshwa na kitu fulani anachokijua yeye kwa hiyo anatoa hasira. Kuna uongo mwingi sana kwenye andiko lake ambao unafuta kabisa uhalali wa kuaminika chochote alichoandika.
Hakuna haja ya kukasirika na mtu mwenye msongo ambaye ameamua kutafuta nafuu kwa kuandika vitu ambavyo angependa vitokee.
Inauma lakini hakuna cha uwongo alichoandika hapo
 
Wamasai wana dawa za mitishamba hadi zingine zinakuwezesha ule nusu mbuzi bila tatizo, wazazi wetu wengi hawakuzaliwa hosipitali, watu walijua majira ya kilimo, walitunza mbegu, hayo yote sio uvumbuzi?
Huyu jamaa inabidi tukutane naye kwenye platform fulani tuzungumze tumtoe ujinga.
Kutozalia hospitali nayo ni kukosa ubunifu tunaishi maisha ya wanyama, Mpaka leo jembe la mkono ambalo wenzetu waliacha kutumia miaka 3000 imeisha,
 
Kutozalia hospitali nayo ni kukosa ubunifu tunaishi maisha ya wanyama, Mpaka leo jembe la mkono ambalo wenzetu waliacha kutumia miaka 3000 imeisha,
You don't get it bruh, do you? Tunazungumzia knowledge kwanza. Wote tunaanzia chini halafu tunaboresha ndo kunatokea kitu kinaitwa hospitali, kiwanda etc.
Unafikiri wazungu waliamka tu asubuhi wakabuni umeme na nguzo na nyaya kesho yake wakasambaza kwenye miji yao?
 
Ukijua hiyo IQ inavyopimwa utakubaliana kuwa that is just another crap! Watu wanatokea mazingira tofauti, anatokea kiumbe mwingine anakuuliza maswali aliyoyaandaa mwenyewe na kwa utashi wake, asiporidhika na majibu yako anasema una low IQ. Don't fall for that bruh.

Mi hata sina haja ya kujua hiyo IQ inafanyajwe wala.mzungu kafanya utafiti gani kuhusu human race hayo matendo yetu na ya viongozi wetu yananipa majibu tosha
 
Makala ndefu mno. Kwanza mtu mweusi ndio yupi? Hizo ni lugha za kibaguzi za watu wa magharibi. Sisi ni watu wa kiafrika.
 
Mi hata sina haja ya kujua hiyo IQ inafanyajwe wala.mzungu kafanya utafiti gani kuhusu human race hayo matendo yetu na ya viongozi wetu yananipa majibu tosha
Mkuu matendo yote hayo yanatokana na kujikuta kwenye systems za utawala ambazo hazipo compatible na sisi.
Ukifuatilia enzi za utawala wa kichifu utakuta kulikuwa na discipline ya hali ya juu bila ys katiba wala parliament na kuna tawala za kichifu zilifanikiwa sana, mfano Chifu Mkwawa na wengine kwenye historia.
Sasa yote hayo hayahesabiki kama innovations ila white culture ndio innovation. Muandishi huyu ana ignorance kiasi kikubwa kuliko knowledge
 
Hakuna dunia bila mtu mweusi! Faatilia katika gunduzi mbalimbali utakubari, wazungu Nani hawajui Kwa kujifanya wao ndiyo wao ruseme tu kwamba sisi waafrika bara letu limebarikiwa Kuwa na kila aina ya raha kwani sisi hatuna snow zakutisha hatuna vimbunga vibaya, hatuna eruption za volcano za kutisha hakuna Jojo la hatari hivyo akiri zenu zimelalatu ila tungelikuwa tunaisha Antarctica tungejiongeza.
Wazungu wa she nzi sana.
 
Wenye IQ ndogo ndo watakubaliana na huo utafiti. Ujuzi unarithiwa toka jamii mbalimbali kutokana na mwingiliano. Sisi waafrika hasa kusini mwa sahara tupo mbali sana na jamii nyingine za dunia ndo maana maisha yetu ni unique wanaona tupo nyuma. Ila baada ya mwingiliano tumesonga mbele sasa huyo mzungu anaongelea afrika ya ukoloni huko. Kumbuka kipindi wamisri na wanubi wanamaendeleo wazungu walikua wanakaa mapangoni huko kwenye milima ya Caucas. Hata warumi walikuwa hawawataki wazungu waingie Rumi sababu ya vurugu zao na kuwa nyuma kimaendeleo. Hata wao wamepitia umaskini. Maendeleo yao wametoa ujuzi kwa warumi,wagiriki,wamisri,wapersia,etc Kwanza race ya white ni blanketi tu linalojumuisha mtu yeyote mwenye ngozi nyeupe. lakini hawako sawa. Haiwezekani muingereza ajivunie utajiri wa mchina. dunia itakucheka. Huyo mzungu anaongea pumba tu kama waafrika watamwamini ntaona kweli wana IQ ndogo.
 
They are nothing like us and they never will be; they are worse in every way. Call them orcs, or trolls, devils, or whatever you like — they are not human.

Huo utafiti umetangaza vita Mimi na wazungu

Waambie sitabishana kwa tafiti

Ukikutana na ni kuwachinjia baharini tu.
 
Huu utafiti umetuponda sana watu weusi, lakini bado nasema mimi ni mtu halisi, mtafiti kuna mambo mengi ameyaweka kuthibitisha low IQ zetu na lack of civilization.

Mengine ni kweli waafrika tunayo

Mkuu naomba source ya utafiti huu nikasome zaidi.
Ila utafiti umekaa kichochezi sana na inauma mno hasa kwenye mistari ya mwisho hapo
Hakika inauma sana. Hiyo mistari ya mwisho.... mmh!!
 
Back
Top Bottom