ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,320
- 50,538
Nimechunguza uchunguzi mdogo habari nimegundua kwamba maisha ya Sasa yamebadilika hapa jijini kwenye Daladala. Zamani watu walikuwa wakiongea Kwa furaha. Kwa maana Kuna kipindi utakuta Konda na abiria wake wanabishana sana. Hoja zikijadiliwa abiria Kwa abiria. Kwa Sasa Kuanzia vituoni na ndani ya magari. Kimya kimetawala. Mabadiliko yametokea. Visa VITUKO na kelele zimepungua Sana. Watu wanajadili wenyewe nafsini.