Utafiti: Maziwa mtindi yanapunguza unene wa kawaida na obesity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti: Maziwa mtindi yanapunguza unene wa kawaida na obesity

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Foundation, Mar 2, 2011.

 1. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini KENYA imegundulika kwamba maziwa ya mtindi yanaondoa unene wa kawaida hata na obesity, bakteria rafiki(harmless bacteria) aitwaye " LACTOBACILLUS" anayapatikana kwenye maziwa ya mtindi anapunguza unene na uzito kupita... kiasi(obesity na huzalisha kinga ya kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini
   
 2. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
 3. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu usiache tukayaparamia maziwa mtindi matokeo yake ndio tukazidi, kweli ndugu yangu. Maana wengine tuko vita hii ya kupunguza uzito kwa muda na matokeo bado si mazuri. Unaweza kufafanua yaliyo katika hali gani, yaani hata ya viwandani pia yanafaa au lazima yatokane na maziwa fresh?
   
 4. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa kama yatakuwa yanafanya kazi hiyo, je ni kiasi gani cha maziwa mtu anatakiwa kunywa per day ili iweze kufanya kazi vizuri mwilini mheshimiwa??
   
 5. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Nipe mechanism yake katika mwili
   
 6. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hebu peleka thread yako huko JF Doctor au Hoja mchanganyiko hapa ni mahala pa kazi na tenda.

  Husomi hata title ya jukwaa??

  Mtindi na nafasi za kazi vinahusianaje???
   
 7. g

  geophysics JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  matangazo ya biashara hayo
   
 8. B

  Baba Jose Senior Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndugu yangu hata mimi ningekushauri next time uangalie unatuma wapi,
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Jukwaa la matangazo lipo apeleke huko basi
   
 10. M

  Mutu JF-Expert Member

  #10
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Duh ni kweli kakosea lakina inaoneka ...una hamu sana na kazi mpya ahaaaaaaaaaaaaaaaa .
   
 11. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #11
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kweli watanzania wengi hawana ajira, mnakuwa wakali mtu akipotea njia!!!
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu badilisha njia huku umepotea!
   
 13. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #13
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Sasa je watu hatuna kazi jamaa analeta mambo mengine huku ha ha ha hah we Mutu acha kusoma katikati ya misitari basi aaahhh
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ha wewe nae sio ukali tunamfahamisha tu mkuu pole kama nimekuwa mkali
   
 15. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #15
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Nimewapata, nilipitiwa. Huo utafiti ulifanyika. Huo utafiti umefanyika kenya pamoja na PROFESA NICHOLSON WA IMPERIAL UNIVERSITY HUKO UK. Wanasema ili mradi uwe unaitwa mtindi, haijalishi ni mtindi wa dukani au sio.

  Hata hii nayo ni kazi, changamkia tenda, kazi sio lazima iwe ya kuajiriwa. Hata ukijiajiri mwenyewe inatosha.
   
 16. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #16
  Mar 7, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  kwa uelewa wangu, tumia kama unavyotumia lishe nyingine. Nilivyosoma hawakusema ni mara ngapi utumie
   
 17. Avocado

  Avocado Member

  #17
  Mar 7, 2011
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Du watu mbona waklai sana,kupotea njia tu ! Bado hiyo habari imewasaidia pia huko huko ilikopotea njia
   
Loading...