Utafiti: Matumizi ya TEKNOHAMA kwenye Uchaguzi wa TZ 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti: Matumizi ya TEKNOHAMA kwenye Uchaguzi wa TZ 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tzjamani, Oct 18, 2010.

 1. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana JF,

  Naamini chaguzi hi sehemu ya maisha. kwa hiyo napendekeza wale jamaa wanaosoma masters, .... . wachangamkie tenda. Naamini hiyo topic tosha kwa kufanya utafiti. Ila siyo wa kuchakachua kama wa redet, .....

  Baadhi ya maswali.

  1. Unafikiri TEKNOHAMA imetumikaji kwenye kampeni na hatimaye uchaguzi 2010.
  2. Changamoto mbalimbali zilizopo na mikakati ya kuboresha matumizi ya TEKNOHAMA 2015

  Maoni
   
Loading...