Utafiti: Katika kila watanzania 6 basi mmoja anatamani kuhama nchi hasa wasomi kutafuta maisha na kazi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Afrobarometer, katika kila watanzania sita basi mmoja anafikiria kuhama nchi kwenda kuishi nchi nyingine. Wengi wa wanaofikiria hivyo ni vijana na wasomi ambao wanakwenda kutafuta kazi kukimbia mazingira magumu ya kiuchumi. #KwanzaHabari
FB_IMG_1555398127492.jpg
 
Kwanza tv tweet:

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Afrobarometer, katika kila watanzania sita basi mmoja anafikiria kuhama nchi kwenda kuishi nchi nyingine. Wengi wa wanaofikiria hivyo ni vijana na wasomi ambao wanakwenda kutafuta kazi kukimbia mazingira magumu ya kiuchumi.
D4QHTBlXsAAUFJ5.jpg
 
Watanzania waliowengi hawana shida na uongozi huu wa awamu ya 5 shida ni wale wafanyakazi walioko katika nafasi za kiutendaji na za kufanya maamuzi, hao ndo wanatamani kwa kuwa hawapati manufaa ya kazi zao maana walisha zoea kupata kipato cha ziada ambacho si cha halali
 
Wewe ni choko la lumumba
 
Mimi kwa sasa, nusu nipo Tanzania, nusu nipo nje. Hali hiyo naiona ni nafuu sana, na ninamshukuru Mungu maana ni hali hiyo ndiyo inanisaidia kwa kiasi kikubwa kuyafikia matarajio yangu.

Na kwa kupitia hali hiyo, natarajia mpaka mwishoni mwa mwaka, nitawawezesha Watanzania siyo chini ya 30 kufanya kazi nje ya Tanzania.

Kwa ujumla hali ya hapa haijaweza kuniathiri moja kwa moja, isipokuwa majukumu ya ndugu yameongezeka kwa kutokana na kuyumba kwa shughuli zao za kawaida.
 
Kwanza tv tweet:

Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Afrobarometer, katika kila watanzania sita basi mmoja anafikiria kuhama nchi kwenda kuishi nchi nyingine. Wengi wa wanaofikiria hivyo ni vijana na wasomi ambao wanakwenda kutafuta kazi kukimbia mazingira magumu ya kiuchumi.
D4QHTBlXsAAUFJ5.jpg
Kamanda wewe uhame ili wananchi watano wabaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom