Utafiti..Kama umezaa ukiwa na Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 jua umezaa Mtoto asiye Mwerevu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,417
108,519
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa wa akili / kufikiri na kwamba wamezizalia nchi zao ‘ hasara ‘ tupu na watakuja kuzipa ‘ mzigo ‘ mkubwa wa kuwahudumia.

Watafiti wao wamesema kuwa wale Wanandoa / walio katika Mahusiano wakizaa Watoto wao wakiwa na Umri wa kati ya miaka 46 hadi 55 na mpaka 60 ( inategemea ) huzaa Watoto ‘ Werevu ‘ sana na ambao huja kuwa ni faida kubwa kwa nchi / taifa husika.

Msininunie Mimi tafadhali bali tafuta ‘ Kopi ‘ yako ya leo ya Gazeti la Tanzania Daima na nenda hadi katika Ukurasa wa 17 uone ‘ Watafiti ‘ walivyotiririka na kuserereka vizuri ila binafsi huu ‘ Utafiti ‘ nakubaliana nao tena kwa 100%.

Nawasilisha.
 
mhhh, hizi tafiti nazo.
mbona siku zote huwa inajulikana wanaozaliwa na wazee above 40 wengi ndio vilaza.
hawajatoa mifano huko mfano Newton angalau...
 
Hizo tafiti za hapa kwetu Bongo ni Uongo mtupu ndio maana hata hatuzitunufaishi katika Jamii yetu!
 
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa wa akili / kufikiri na kwamba wamezizalia nchi zao ‘ hasara ‘ tupu na watakuja kuzipa ‘ mzigo ‘ mkubwa wa kuwahudumia.

Watafiti wao wamesema kuwa wale Wanandoa / walio katika Mahusiano wakizaa Watoto wao wakiwa na Umri wa kati ya miaka 46 hadi 55 na mpaka 60 ( inategemea ) huzaa Watoto ‘ Werevu ‘ sana na ambao huja kuwa ni faida kubwa kwa nchi / taifa husika.

Msininunie Mimi tafadhali bali tafuta ‘ Kopi ‘ yako ya leo ya Gazeti la Tanzania Daima na nenda hadi katika Ukurasa wa 17 uone ‘ Watafiti ‘ walivyotiririka na kuserereka vizuri ila binafsi huu ‘ Utafiti ‘ nakubaliana nao tena kwa 100%.

Nawasilisha.

Hi wewe wazazi wako walikuza wakiwa na umri gani?
 
huo utafiti hamna kitu kabisa na inaashiria hao watafiti hawana uwezo wakuzaa au ni wazee wenye mtazamo wakupunguza mimba za utotoni kwa sababu wanaamini ni moja kati ya visababishi vya ufukara
 
Nimejibu katika post yangu #10 iangalie / isome hapo juu tafadhali. Wewe unadhani ninavyoringa kuwa nina akili za Kutukuka na Mwerevu huwa natania tu au nakosea? Watafiti wamemaliza kila kitu Mkuu na Binafsi nakubaliana nao kwa 100%. Kazi kwenu mnaozaa kati ya 18 na 45 au mliozaliwa na Wazazi wenu wakiwa na miaka 18 na 45.

Watafiti huwa hawakosei na kwa hili hawajakosea.
 
huo utafiti hamna kitu kabisa na inaashiria hao watafiti hawana uwezo wakuzaa au ni wazee wenye mtazamo wakupunguza mimba za utotoni kwa sababu wanaamini ni moja kati ya visababishi vya ufukara

Pole sana Mkuu kwa hilo la 18 hadi 45 kukuhusu Kindakindaki.
 
Tafiti za njaa tu, sasa ukizaa above 45+ sindo unakua umechoka zaidi huyo mtoto atakuaje intelligent?
Hao watafiti nina mashaka nao
 
Back
Top Bottom