GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,871
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa wa akili / kufikiri na kwamba wamezizalia nchi zao ‘ hasara ‘ tupu na watakuja kuzipa ‘ mzigo ‘ mkubwa wa kuwahudumia.
Watafiti wao wamesema kuwa wale Wanandoa / walio katika Mahusiano wakizaa Watoto wao wakiwa na Umri wa kati ya miaka 46 hadi 55 na mpaka 60 ( inategemea ) huzaa Watoto ‘ Werevu ‘ sana na ambao huja kuwa ni faida kubwa kwa nchi / taifa husika.
Msininunie Mimi tafadhali bali tafuta ‘ Kopi ‘ yako ya leo ya Gazeti la Tanzania Daima na nenda hadi katika Ukurasa wa 17 uone ‘ Watafiti ‘ walivyotiririka na kuserereka vizuri ila binafsi huu ‘ Utafiti ‘ nakubaliana nao tena kwa 100%.
Nawasilisha.