Utafiti..Kama umezaa ukiwa na Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 jua umezaa Mtoto asiye Mwerevu

Pole sana Mkuu kwa hilo la 18 hadi 45 kukuhusu Kindakindaki.

Sasa ukija kuzaa mtot ukiwa na miaka 45 kwenda mbele siatakuwa mjukuu? Hao watafiti inawezekana hawazai. Magenius wote wazazi wao waliwazaa wakiwa na umri mdogo. Tafiti hii itakuwa imefanyiwa Tanzania
 
Hawajakosea Mkuu na wapo sahihi sana tena kwa 100%.
Sio kweli kwa sababu hata sisi tupo duniani na haya mambo tunayaona sasa wasitake kutufunga midomo kwa neno "utafiti",jambo hili halijafanyika kwenye outer space hata sisi tunaliona pia tunajua
 
Sio lazima kuwa ikiandikwa gazeti la Tanzania daima bac ndo lazima iwe ni kweli...huo ni uongo ambao hata mtoto hadanganyiki nao.....kama ni hivyo bac dunia ingejaa mataahira
 
Utafiti mmoja umefanywa na kugundua kuwa Wale wanandoa au watu walio katika Mahusiano na wamezaa Watoto wao wakiwa na kati ya Umri wa kati ya miaka 18 hadi 45 wamezaa Watoto wasio na uwezo mkubwa wa akili / kufikiri na kwamba wamezizalia nchi zao ‘ hasara ‘ tupu na watakuja kuzipa ‘ mzigo ‘ mkubwa wa kuwahudumia.

Watafiti wao wamesema kuwa wale Wanandoa / walio katika Mahusiano wakizaa Watoto wao wakiwa na Umri wa kati ya miaka 46 hadi 55 na mpaka 60 ( inategemea ) huzaa Watoto ‘ Werevu ‘ sana na ambao huja kuwa ni faida kubwa kwa nchi / taifa husika.

Msininunie Mimi tafadhali bali tafuta ‘ Kopi ‘ yako ya leo ya Gazeti la Tanzania Daima na nenda hadi katika Ukurasa wa 17 uone ‘ Watafiti ‘ walivyotiririka na kuserereka vizuri ila binafsi huu ‘ Utafiti ‘ nakubaliana nao tena kwa 100%.

Nawasilisha.
Utafiti wa ulaya unatuletea sisi. Just copy and paste.
Wewe jiulize
Angalia umri wako.
Tathimini umri wa mama wakati unazaliwa.
Tathimini akili na mchango wako ktk jamii,
Lete mrejesho
 
Gentamycine bwana. Utawafanya watu watokwe mapovu kwa kuchanganyikiwa
 
Utafiti mwingine unaeleza kuwa, watoto wanaozaliwa na wazazi wenye umri mkubwa zaidi, wana nafasi kubwa ya kuwa mazezeta.

Ya kheri kutokuwa Mwerevu kuliko kuwa Zezeta.
And this is the one known before.
 
Mwenyekiti amekubali kweli habari hii ichapishwe? Mshua alimzaa akiwa na miaka chini ya 30, kama ni hivyo kumwita bint KIA inaleta maana.
 
Back
Top Bottom