Utafiti juu ya vyuo vya Tanzania

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,604
SIFA ZA WANAFUNZI NA CHUO KINACHOONGOZA.

1. Wanaongoza kwa misuli mirefu na G.P.A za ajabu.
- SUA.

2. Wanaosoma kwenye mazingira magumu japo ni watu mihimu sana katika nchi.
- MUHIMBILI.

3. Wanaojifanya wao ni bora kuliko wanafunzi wengine wa vyuo vingine.
- UDSM.

4. Wanao lipa hela nyingi ya ada na vyuo vyao havina viwango.
-St. Joseph.

5. Wanao ongoza kutembea umbali mrefu na kuwa na usumbufu mkubwa wa usafiri na shida kubwa ya maji.
- UDOM

6. Wanao jiona wajanja kuliko vyuo vingine vyote.
- IFM.

7. Ambao hawavumi hila wanakula elimu ngumu kuliko.
- DIT.

8. Wanao jifanya wako busy kuliko vyuo vyote.
- MZUMBE.

9. Wanao dharaulika na wanakubali kudharaulika.
- SAUTI.

10. Wanao somea vitu muhimu ila hawajiamini kuwa wao pia ni muhimu.
-KCMC AND BUGANDO.

11. Wanaosoma elimu simplified na kujidai ni kama MUHAS.
- KAIRUKI.

12. Ambao hawajielewi, hata chuo hakiwaelewi kwa nini wanakubali kukaa mitaani mpaka leo, wakati chuo jirani kina mpaka mabus ya kuwarudisha hostel bure.
- ARDHI.

13. Wanao danganywa wao ni watu muhimu wakati si kweli.
- NIT.

14. Wazembe na huwa elimu yao yaweza ikawa jipu pia.
- KAMPALA.

15. Chuo kinachoongoza kwa kuwa na watu wazima wengi kuliko.
- JORDAN.

16. Wanaongoza kufata mkumbo wa vyuo vingine town.
- TUMAINI.

17. Wazungu waroho natabia nahusoma kwamalengo
- IAA.

18. Utasajiliwa hata kama hauna vigezo.
- CBE.

19. Wanasoma course ngumu kama engineering lakini hawapati ajira.
- MUST AND MBEYA UNI.

20. Chuo kwa ajili ya watu wenye majukumu mengi.
-OPEN.

21. Wanasoma wengi lakini mwajili mkuu ni serikali.
- MIPANGO.

22. Wanaosoma kwa sababu ya kuridhisha wazazi.
- TIA AND KISANJE.

KAMA CHUO CHAKO HAKIPO UJUE UTAFITI UNAENDELEA.

Note... endelea kuweka sifa za vyuo na zilizohaukika.
 
f1397bf176cf569570b07eb4267428a6.jpg
 
Mkuu, huu ni utafiti au hisia zako?
 
G.PA za ajabu!!!
unamaanisha nin
 
Ukikua utajitambua....NI UTOTO TU.
 
Huyu aliyeaandika hivi ni mshamba mmoja asiyejielewa ht chuo hajapajui....
Sijui anaongelea shuttle za mlimani. hajui ht km zinalipiwa
Wanalipa Tsh400 kutoka Campus hadi Mabibo,labda mimi sijui japokuwa nipo UDSM.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom