Utafiti juu ya Maumbile ya ndani ya wanaume kanda ya ziwa waongoza kwa ukubwa wakati Kaskazini washika mkia

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Utafiti huru uliofanyika hivi karibuni umebaini wanaume wa Kanda ya Ziwa yaan Kagera, Mwanza, Geita, na Shiyanga wana maumbile makubwa kuzidi kanda ya kati, nyanda za juu kusini, kanda ya Mashariki na Kaskasini,
Aidha imebaini Arusha, Tanga, Dar es salaam wana maumbile madogo

Utafiti huu umefanyika kwa njia mbali mbali
1.Mitandano ya kijamii
2.Kuwahoji wanawake
3.Kuomba kwa siri taarifa za wagonjwa
4.Kutoka taarifa za wanaoishi pamoja bording schools wakati wa kuoga wanaonana
5.Kambi mbali mbali za jeshi na polis

FB_IMG_1566070304359.jpg

Britanicca
 
Utafiti kama huu unatakiwa ufanywe Na kina Mama/Dada kwa kuwa Ndio wanakutana na mashine mbali mbali na ukubwa au udogo wa mashine unawahusu wao nashangaa sana mtoa report ni mwanaume sijui ukubwa au udogo unamsaidia nini !!
labda wanamlegeza washeri zake
 
Back
Top Bottom