UTAFITI: CHADEMA wangeendelea kuburuzwa na CCM kama uchaguzi ungefanyika leo

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,067
Pamoja na kushuka kwa umaarufu wa Rais kwa zaidi ya asilimia 40, wananchi wamesema kama uchaguzi utafanyika leo kura za CCM zitapungua kwa 3% tofauti na 2015 while kura za Chadema zitapungua kwa 24% [HASHTAG]#SautiZaWananchi[/HASHTAG]

DhaPo4OW4AEQO71.jpg
 
kinachoibeba ccm sio kupendwa bali kubebwa na vyombo vya dola kama polis na tume ya uchaguzi. ni kweli hata leo ukiitishwa uchaguzi ccm inashinda.
 
Hivi wakitaja nchi zinazofanya uchaguzi wa uhuru na haki TZ imo?kama hao viongozi wa tume ya uchaguzi baada ya uchaguzi ndio wana zawadiwa vyeo?hata aibu huna!!uzuri joka limeanza kule hata wanafamilia wake!!
Mkuu hao ni walamba miguu
 
Back
Top Bottom