Elections 2010 Utafiti: CHADEMA 74% Igunga, kama uchaguzi ungefanyika leo

Mikael Aweda

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
2,973
3,901
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.

Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.

Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.
Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.
Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10% .

Na hapo bado CHADEMA hawajafungua gala lake. Tunasubiria kwa shauku kubwa kusikia Cdm wameshusha 'CONVOY' yake iliyosheheni silaha za maangamizi. I mean kina Wenje, Kiwia, Selasini, Mnyika, Mdee, Lema, Sugu, Silinde, Nyerere, na makamanda wengine. Hakika Igunga hapatatosha. Magamba lazima watawehuka.

Huo UTAFIKI kweli unatisha!
Source ya huo utafiki ni nini?

Kweli huo ni utafiki si utafiti ndio maana hata data zinatia shaka ni zakubumba.

Utafiti kumbe umefanywa na CDM,ngojeni mtafurahi siku ya uchaguzi.
Mnajua hata 30% hamtafikisha.
OTIS.

Huo utafiti inaelekea umefanyika kwenye sebule ya Mbowe na ukachapishiwa kwenye laptop ya Slaa.

CCM mwaka huu Mtachekea chooni! Ndege itatua haituiii! Tutakula au fitnaaaa! Wacha nifurahi kizamani. Kweli Chadema inatisha. Magamba uharo debe!

Na hapo bado,ccm watakimbia wenyewe huku hawana viatu miguuni

Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.

Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.

Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.
Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.
Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10% .

nashawishika kusema kwamba taarifa yako ina uhalisia fulani. good job.
kwa mjibu wa sugu, wanasema kampeni zitaanza kwa nguvu ya digital tarehe 25. nawashauri waanzie na huko ambako CCM waliwanyima elimu ya kujitambua, ili elimu ya uraia itakayotolewa na CDM waanze kuipokea na kuichukia CCM kama ilivyo kwa wengi ambao tumeenda shule, tunaojua kwa vipi CCM imekwamisha maendeleo ya nchi na wannchi wake,

CCM mwaka huu Mtachekea chooni! Ndege itatua haituiii! Tutakula au fitnaaaa! Wacha nifurahi kizamani. Kweli Chadema inatisha. Magamba uharo debe!

avata yako hiyo ni picha ya nani mnafiki kiivyo? nashangaa kwa ni9ni hajavaa nguo za kijani

Magazeti yenyewe TANZANIA DAIMA LA MBOWE, NA MWANA HALISI ANTHONY KOMU CHADEMA-subirini matokeo ndio mtajua kama chadema wanaigunga hawaitaki kuwamwagia tindikali muwamwagie na kura wawape?

Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.

Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.

Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.

Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.

CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.

Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.

Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10% .

nashawishika kusema kwamba taarifa yako ina uhalisia fulani. good job.
kwa mjibu wa sugu, wanasema kampeni zitaanza kwa nguvu ya digital tarehe 25. nawashauri waanzie na huko ambako CCM waliwanyima elimu ya kujitambua, ili elimu ya uraia itakayotolewa na CDM waanze kuipokea na kuichukia CCM kama ilivyo kwa wengi ambao tumeenda shule, tunaojua kwa vipi CCM imekwamisha maendeleo ya nchi na wannchi wake,

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom