Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
Chama cha Demokrasia na maendeleo kinaweza kushinda hadi 74% kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa muda wa wiki tatu na wanazuoni na baadhi ya waandishi wa habari Tz daima imeripoti leo. Utafiti huo umefanyika ktk kata zote 26. Ilieleza taarifa hiyo kwa ufupi.
Kwa upande wake mwanahalisi nao wamefanya utafiti wao na kugundua kuwa Chadema inaweza kushinda kwa 55% tu kutokana na utafiti uliofanyika kwa wiki mbili uliohusisha mjini na vijijini.
Mijini ambako kuna 50% ya wapiga kura, Chadema inaweza kupata 60 -65# na CCM 25 - 32%. Kata za vijijini kabisa CCM 60- 65% na Chadema 30 - 32% na cuf 8- 10%.
Kata ambazo chadema inakubalika ni mwisi, Igunga, Ziba, Igurubi, Chaoma, na Nsimbo. Kati ya watu kumi 6 = chadema, ccm, Cuf na wengine waligawana zingine.
CCM ina mvuto sana ktk maeneo ya kijijini hasa kaskazini ktk tarafa ya Igurugi yenye kata za Itumba, Kingiringirina, Itumba, Mbembezi na Mbutu. Kati ya watu 10 waliohojiwa 6= ccm. Maeneo haya uelewa wa watu ni mdogo sana na wengi wao ni wafugaji. Waliojibu kuwa wataichagua ccm kwa sababu ndo chama walichokuwa nacho tangu zamani. Uelewa ni mdogo kiasi kwama hawajui hata baadhi ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi wa Igunga, utafiti uligundua.
Waandishi wa Mwanahalisi wanaripoti kuwa Chadema ina nafasi kubwa kushinda kutokana na kukubalika ktk kata zingine 8. Kati hizo kata 8 ni kata za Nyandekwa, Mwamashiku, Mwamashimba, na Manga ambako chadema walipata 46% na ccm 40% cuf 12. Vyama vingine 1%.
Kwa wastani kwa mujibu wa mwanahalisi Chadema itapata kati ya 52% hadi 55 na CCM 42% hadi 46% na cuf 5 - 10% .