UTAFITI: Bila JF Magazeti Mengi, na Media Nyingi Zitakuwa ICU

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Kitu ambacho nimejifunza hivi karibuni ni kuwa, media nyingi zinaitegemea kwa karibu asilimia 30 jamii forums kama source yao ya habari na input nyingine za kuandaa vipindi kama vile vya mapenzi na mada mbali mbali.

Nimeona habari nyingi ambazo zimetokea kwenye vyombo vya habari, ukizifuatilia kwa undani hata tu namna walivyoziripoti, utagundua tu kuwa mwandishi alizama JF akaibuka na taarifa za awali akaongeza na kauchunguzi kake, then wakapublish...

Yani ikitokea JF haipo hewani kwa cku kadhaa, trust me, media nyingi sana hapa Bongo zitaenda ICU!
 
hata blogs aiseee wanaboa wanacopy kila kitu humu

MPAKA STORY ZA MMU
NILIKUTA STORY YANGU MOJA KATIKA BLOG MOJA UCHWAARA
 
Sio kweli sana, wanategemeana kwa kiasi fulani. But media nyingi eg newspapers wanazo sources nyingi za kupata information na wala hawategemei JF; JF ndio inawategemea zaidi!

Bora hata ungesema JF ya miaka hiyo sio hii ya sasa hv!
 
Inawezekana yule anaenazisha au kuleta taarifa humu jf pia ni huyo huyo muandishi wa gazeti... masai dada anaweza kua ni mfanyakazi wa gazeti moja la udaku, so habari yake pia utaikuta gazetini kwake
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana yule anaenazisha au kuleta taarifa humu jf pia ni huyo huyo muandishi wa gazeti... masai dada anaweza kua ni mfanyakazi wa gazeti moja la udaku, so habari yake pia utaikuta gazetini kwake

hahahahahashsh
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom