Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,638
- 2,720
Kitu ambacho nimejifunza hivi karibuni ni kuwa, media nyingi zinaitegemea kwa karibu asilimia 30 jamii forums kama source yao ya habari na input nyingine za kuandaa vipindi kama vile vya mapenzi na mada mbali mbali.
Nimeona habari nyingi ambazo zimetokea kwenye vyombo vya habari, ukizifuatilia kwa undani hata tu namna walivyoziripoti, utagundua tu kuwa mwandishi alizama JF akaibuka na taarifa za awali akaongeza na kauchunguzi kake, then wakapublish...
Yani ikitokea JF haipo hewani kwa cku kadhaa, trust me, media nyingi sana hapa Bongo zitaenda ICU!