Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 1,547
- 2,781
AiseeMuongozo haufai kwenye mada kama hii...
Sababu watu wanataabika baada ya kudungwa hizi chanjo ukiongea utaambiwa mpotoshaji...
AiseeMuongozo haufai kwenye mada kama hii...
Sababu watu wanataabika baada ya kudungwa hizi chanjo ukiongea utaambiwa mpotoshaji...
Kwahyo kutochanja ni ujinga?Jitokezeni mkachanje acheni kujificha kwenye kichaka cha Ujinga..
Miaka ya 1900 wakati umeme unagundulika wapo watu waliopinga uvumbuzi huo hivyo haishangazi pia kuwepo wapinga chanjo..
Hizi ni taarifa za kitapeli na kutoka kuzimu,kwa kuwa CDC ni shirika la kitapeli linalo ongozwa na watumishi wa Shetani.Component moja wapo iliyoko kwenye chanjo hizo inaonyesha wazi kwamba Covid Vaccines zote without exception ni mpango wa mauaji by Satan himself and human possession by demons.Component hiyo inaitwa "Microsoft Windows mRNA666 Operating System."View attachment 1934670
Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19.
Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13 kuanzia April mpaka Julai mwaka huu na kubaini kuwa watu wasiochanjwa wapo katika hatari mara 4.5 zaidi kupata (kuambukizwa) virusi vya Covid-19 ukilinganisha na waliochanjwa.
Sambamba na hilo, utafiti huo umebaini kuwa wasiochanjwa wapo katika hatari ya kupata homa kali zinazoweza kupelekea vifo mara 11 zaidi ya watu waliochanjwa.
===
CDC finds unvaccinated 11 times more likely to die of COVID-19
New U.S. studies released Friday show the COVID-19 vaccines remain highly effective against hospitalizations and death even as the extra-contagious delta variant swept the country.
One study tracked over 600,000 COVID-19 cases in 13 states from April through mid-July. As delta surged in early summer, those who were unvaccinated were 4.5 times more likely than the fully vaccinated to get infected, over 10 times more likely to be hospitalized and 11 times more likely to die, according to the Centers for Disease Control and Prevention.
“Vaccination works,” Dr. Rochelle Walensky, CDC's director, told a White House briefing Friday. “The bottom line is this: We have the scientific tools we need to turn the corner on this pandemic.”
But as earlier data has shown, protection against coronavirus infection is slipping some: It was 91% in the spring but 78% in June and July, the study found.
So-called “breakthrough” cases in the fully vaccinated accounted for 14% of hospitalizations and 16% of deaths in June and July, about twice the percentage as earlier in the year.
An increase in those percentages isn't surprising: No one ever said the vaccines were perfect and health experts have warned that as more Americans get vaccinated, they naturally will account for a greater fraction of the cases.
Walensky said Friday that well over 90% of people in U.S. hospitals with COVID-19 are unvaccinated. CDC released two other studies Friday that signaled hints of waning protection for older adults. One examined COVID-19 hospitalizations in nine states over the summer and found protection for those 75 and older was 76% compared to 89% for all other adults. And in five Veterans Affairs Medical Centers, protection against COVID-19 hospitalizations was 95% among 18- to 64-year-olds compared to 80% among those 65 and older.
It isn't clear if the changes seen over time are because immunity is waning in people first vaccinated many months ago, that the vaccine isn't quite as strong against delta -- or that much of the country abandoned masks and other precautions just as delta started spreading.
But U.S. health authorities will consider this latest real-world data as they decide if at least some Americans need a booster, and how soon after their last dose. Next week, advisers to the Food and Drug Administration will publicly debate Pfizer's application to offer a third shot.
666 sio namba ya mnyama, acheni kuwa kichwa wazi hivi,Hizi ni taarifa za kitapeli na kutoka kuzimu,kwa kuwa CDC ni shirika la kitapeli linalo ongozwa na watumishi wa Shetani.Component moja wapo iliyoko kwenye chanjo hizo inaonyesha wazi kwamba Covid Vaccines zote without exception ni mpango wa mauaji by Satan himself and human possession by demons.Component hiyo inaitwa "Microsoft Windows mRNA666 Operating System."
Note the number 666,hii ni namba ya anayeitwa Mnyama,ambaye atapewa mamlaka na Shetani mwenyewe katika utawala wake rasmi duniani wa miaka saba.Biblia imeeleza jambo hili wazi Ufunuo 13 hasa mstari wa 16-18.
Okay,ila the Bible says so,and we know it is true!By the way,the Bible cannot lie.Hata wahusika wenyewe wakuu wanakiri it is,so who are you to say it isn't.Check hata Chrome,ni 666,the number is everywhere.Until when are you going to bury your head in the sand.Kama ulichanja mkuu bad luck na pole,it was an extremely poor decision.Wewe tuambie,what what 666 represents,if you are saying the Bible is lying,which cannot be,because the Bible never lies.666 sio namba ya mnyama, acheni kuwa kichwa wazi hivi,
protons