Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Huu utafiti umefanyika kwa watu wa umri wa miaka 20 hadi 30, mijini na vijijini.
Wanaume, kwanini hampaki mafuta? Mnapaka usoni tu na mikononi lakini huko mnaacha. Whyy? Unakutana na mtu ukimshika eneo hilo kavu na ukikwangua lazma utoke na unga....vepeeeee?
Naomba niwape multiple choices
a) Mikono haifiki
b) Mnasahau
c) Hamuoni umuhimu
d) Ubahili wa mafuta