Utafanyeje mtu akija na bahasha na kuketi mbele wakati unataka kufunga ndoa?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Habari wakuu!
Je, ikitokea siku unafunga ndoa na mpo dakika za majeruhi unatazama mbele unamwona mtu wa jinsia yako, yaani mwanaume au mwanamke mwenye sura ngeni kwako hatulii na mkononi anabahasha (A4) khaki na inaonyesha ndani ina vinyaraka/karatasi?
Je, hutapata hofu kuwa mume/mke wako mtarajiwa ni mime/ mke wa mtu?
Je, ukihisi kitu utafanya nini?
Je, ikiwa mtu kaamua kufanya hivi ili tu kukuweka roho juu utamfanya nini ndoa ikishafungwa na hharusi kupita?
 
Last edited:
Sasa wasiwasi wa nini kwako kama hujawahi kuoa au kulekeza mtoto labda useme umuhisi mwenzio hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom