Utafanyeje ikiwa rafiki wako wa JF anakupigia simu usiku wa manane?

Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?

Ukipigiwa simu njoo lalamika hapa.....
 
Una mke na mtoto, siku tatu mfululizo rafiki yako wa Jf wa kike ambaye hamna mahusiano ya kimapenzi anakupigia simu saa 6 usiku, unajaribu kumuonya anasema she feels you, je utamfanya nini? Somo umempa na anajua status yako ya kindoa?



Wewe mpige tu BAN! Sehemu zako zoote za mawasiliano...
 
Pole atakuwa na matatizo kama hajui mipaka yake !
nadhani msg kapata kupitia hii sreadi kwamba hupendi
 
Kwanini umdanganye kuwa uko single?
Ni haki yake kukupigia manake kama hukumdanganya uko single asingekukubalia,pili asingepiga mda huo.
Hatutaki watu waongo kwenye love connect wala PM.
Pole sana na usirudie tena.
 
itakuwa zile siku 30 zimeisha eeh......
ntakuja tukafanye mkutano wa hadhara wa wokovu..kuna watu hapa wamezidi..[/QUOTE]

umeshajifunza kunena kwa lugha?nataka mkutano wa safari hii niwe na watu wasionihoj kuhusu sadaka,ww utanifaa tatizo hujui kunena.
 
Ningekuzaba kibao labda hasira zingepungua.

Ulipokuwa , unachukua namba yake nawe ukampatia yako ulidhania kuwa anaenda kujifunza kuhesabu tarakimu kuanza moja hadi kumi Kama mtoto wa chekechea!!?

Acha upoyoyo.
 
leo saa nane kasoro kumi na saba usiku nakupigia simu, siwezi kukumiss namna hii useme nisipige, no way


Haaa haaa Haaa haaa teeeh teeeh teeeh teeeh.
[HASHTAG]#Preta[/HASHTAG], bavu zangu jamani.
 
Back
Top Bottom