Utafanyaje pale moja ya kondom ulizotumia utaikosa baada ya kuwa umevusha mchepuko, wakati mwenzi sasa anauhuru na hicho chumba

masara

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
1,738
2,279
ZA mda huu wadau..
Nimejikuta nawaza halafu nikaishia kushangaa tu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleze.. wewe unaweza kuwa mwanaume au mwanamke. Lakini pia unaweza kuwa mke au mme wa mtu.
Nianze na vijana. Pale inatokea ghafla umepata mchepuko ghetto kwako wakati una mtu tunawaita permenet. AU ambaye ndie anauhuru na ghetto kwako. Halafu baada ya kumaliza kufanya mapenzi kwa kutumia kondomu na mmetumia kondomu zaidi ya moja, na baada ya kumaliza. na mchepuko kuondoka unaamua kufanya usafi. Halafu kwa kumbukumbu zako unakumbuka kuwa kondomu mlizotumia inakosekana moja na unajitahidi kuitafuta hauioni. Na ukiangalia masaa ni kama mtu wako halisi anakuja mda wowote na yamkini akaiona... hapo kama ikikutokea wewe utafanyaje..
(Hii inaweza tokea kwenye chumba cha msichana au mvulana hivyo wote tuko huru kuchangia)
Twende kwa wanandoa. Ni kama kwa vijana. Pale inatokea Mr. AU Mrs katoka kiasi halafu ukaleta mchepuko nyumbani kwenu halafu mwisho wa siku mda wa usafi unakumbika kondomu moja iliyotumika haionekani hali zile packet zinazidi moja.. hapo utafanyaje.
NB. kumbuka huyo mpz/mwanandoa anaweza kufanya chochote humo ndani bila mipaka. Mfano anaweza kuanza kufanya usafi au kupekuwa kitu chochote au kufanya chochote na usiwe na mamlaka ya kumzuia hadi atakapomaliza.

(Lakini ghafla kama tayari ameshafika nyumbani. Ghafla anasema hiki chumba tukifanyie usafi mda huu.. ikitokea kwako utafanyaje)
@nahuja
 
Kwa nini upeleka huduma ya haraka nyumbani?huduma ya haraka au mchepuko mnamalizana juu kwa juu
 
Uwiiiiiiii kama ni ghetto nikamwambia leo ni siku ya maadhimisho ya kutembea maana kila tarehe na mwezi kama ya leo baba alihimiza mida hii niwe natembea kama km 30 na sharti alinipa kama nikiwa na mwenzangu basi lazima ashiriki ili nisivunje mipaka...

Najua kabisa tukirudi atakuwa hoi nitasafisha mwenyewe...
 
Anza mechi upyaa na zana kwa mmiliki ilii ikitokea kaikuta ndani umwambie mlitumia naye.
 
Mwanamke gani anaetaka zana wakati kila siku mnapekenyuana peku maana mshapimana. Utamuingiaje na ndomu akuelewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom