lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,382
Hili jambo bwana limeleta kesi nyingi sana,
Mimi nina jamaa yangu mmoja alirejea home ghafla kutoka office, akakuta dogo wa kuremba kucha anammassage mkewe miguu huku mkewe huyo mipaja ukiwa wazi tu, dogo akichezea makofi na mitama, huku mke huyo nae akiambulia kipigo heavy.
Je wewe utafanyaje/ulifanyaje ulipokuta msichana/mkeo akishikwashikwa miguu na dogo janja?
MWENGE, KARIAKOO, TABATA KIMANGA, vijiwe hivi ni vingi, ukipita dadazetu mapaja wazi tuu wanashikwashikwa na hawa Majanjaro, dah aisee.