Utafanyaje? Mremba kucha anamsugua miguu mkeo nyumbani?

lossoJR

JF-Expert Member
Oct 11, 2012
2,711
2,382
Hili jambo bwana limeleta kesi nyingi sana,

Mimi nina jamaa yangu mmoja alirejea home ghafla kutoka office, akakuta dogo wa kuremba kucha anammassage mkewe miguu huku mkewe huyo mipaja ukiwa wazi tu, dogo akichezea makofi na mitama, huku mke huyo nae akiambulia kipigo heavy.

Je wewe utafanyaje/ulifanyaje ulipokuta msichana/mkeo akishikwashikwa miguu na dogo janja?

MWENGE, KARIAKOO, TABATA KIMANGA, vijiwe hivi ni vingi, ukipita dadazetu mapaja wazi tuu wanashikwashikwa na hawa Majanjaro, dah aisee.

401917b15253e4b75558751bdb12b119.jpg
 
Muelimishe mkeo kwamba atapata magonjwa na fungas sugu zisizopona kwa kutumia vifaa vya kuchonolea makucha vya hao nyambizi
Harafu sio nzuri kwa afya ya ndoa yetu
We mtu unashikwa vidoleni mpaka unajisikia nyege K inalowa mbele ya mwosha kucha je si hatari hiyo ikitokea dogo akajiongeza kidogo tu si anakula mzigo
Ole wako nimkute huyo nyoko hapa nitamkata masikio
Fyuuuuuuu.......
 
Haha umeongea kwa hisia kali mkuu
 
Ujue ifikie kipindi tuacheni dhana mbaya kwamba kila mpaka rangi kucha basi anakuwa na tabia zilizo mbovu juu ya mteja wake mi nakataa aisee.

Kiukweli ile ni kazi na kama mteja kamuita akatae? Hapo shida itakuwa kwa mwanamke sio bure ikiwa mtu kaja kukuosha kucha na wewe unajitanua tanua pasi kujijali na kujiheshimu unadhani huyo muosha kucha afanyeje sasa.
 
Lakini aise tukubaliane tu hii makitu si nzuri
Ni kama vile ukanikuta salon nafanyiwa srub za massage na kushikwa shikwa nimepakatisha kichwa katikati ya manyonyo ya mdada wa Solon
Halafu dude lipo full mlingoti lazima mdada aombe kupanda kwenye dushe
 
Ujue hapo inategemea mkuu ikiwa umeenda kwa lengo la kwamba ufanyiwe scrub sidhani kama itafikia muda eti dushe litasimama. Ndio kama sisi ukiona mwanamke kalainika kwa muosha kucha jua hakufuata kuoshwa kucha bali alikuwa na lengo lingine nje ya.

Nadhani shida iko kwa sisi wateja.
 
Harafu naona huyo jamaa unaemzungumzia utakuwa wewe mwenyewe tamu ya mke wa mtu haijawahi kumuacha mtu salama

Hata mimi nikikukuta kwa mke wangu itabidi utafute njia ya kutokea
 
yaani hapa ndo nawazaga sana kuoa msabato angalau naweza punguza shida za namna hii
 
Mambo mengine hayavumiliki

Upakaji wa hii makitu.?.. Vijana hushia kushusha ashiki za wake zetu kiulainiii
 
Lakini aise tukubaliane tu hii makitu si nzuri
Ni kama vile ukanikuta salon nafanyiwa srub za massage na kushikwa shikwa nimepakatisha kichwa katikati ya manyonyo ya mdada wa Solon
Halafu dude lipo full mlingoti lazima mdada aombe kupanda kwenye dushe
 
Harafu naona huyo jamaa unaemzungumzia utakuwa wewe mwenyewe tamu ya mke wa mtu haijawahi kumuacha mtu salama

Hata mimi nikikukuta kwa mke wangu itabidi utafute njia ya kutokea
me bado sijaoa mkuu,siku zikikaribia ntakupa kadi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom