Utafanyaje kama ndoa zote zikifutwa na kuanza upya?

blotter20

Member
Sep 19, 2014
53
14
Swali la kizushi,

Leo hii unasikia sauti toka kwa Mungu inatangaza Dunia nzima kuwa kuanzia sasa ndoa
zote zimefutwa muanze upya, je utamchumbia uliomuoa au utakubali kuolewa tena na aliekuoa au utasaka mwingine?

Twende kazi.
 
Swali la kizushiiii.... Leo hii unasikia sauti toka kwa
Mungu inatangaza Dunia nzima kuwa kuanzia sasa, ndoa
zoooote zimefutwa muanze upyaaaa...... Je utamchumbia
uliomuoa au utakubali kuolewa tena Na aliekuoa au
utasaka mwingineeeeeee???? Twende kazi.
Labda iwe ndotoni. ...kiuhalisia ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Watu wataowa michepuko tuu maana saiz MTU ukiowa harafu huna michepuko kam miwili HIV au mitatu basi unamatatzo ya ubongo
 
Nitafurahije? Kuna danga fulani nalimezeaga mate. Afu kwa sisi wanawake hakuna shida hata wasiposema kuwa ndoa zianze upya maana biblia imeandika "usimtamani mwanamke asie mke wako" ILA HAIJASEMA "usimtamani mwanaume asie mme wako" kwetu bado ni advantage.
 
nakuomba sana tena sana nitamani na mimi
 
Mungu ndo nani tena? Au unamaanisha magufuli? Maana ndo mwenye mamlaka ya kufuta chochote anachokitaka na asichokitaka
 
Nitafurahije? Kuna danga fulani nalimezeaga mate. Afu kwa sisi wanawake hakuna shida hata wasiposema kuwa ndoa zianze upya maana biblia imeandika "usimtamani mwanamke asie mke wako" ILA HAIJASEMA "usimtamani mwanaume asie mme wako" kwetu bado ni advantage.

Ha ha haaaa Mungu anatupenda
 
Mbona wakati wa ndoa hakuna sauti inayosikika ikisema ndiyo yenu na halali... watu watashangaa watajua hila za binadamu tu...
 
Nitafurahije? Kuna danga fulani nalimezeaga mate. Afu kwa sisi wanawake hakuna shida hata wasiposema kuwa ndoa zianze upya maana biblia imeandika "usimtamani mwanamke asie mke wako" ILA HAIJASEMA "usimtamani mwanaume asie mme wako" kwetu bado ni advantage.
nitamani na mimi kwikwikwikwiii
 
Back
Top Bottom