Utafanya vp jamii ikiwa inamsonta baba yako ni mwanga/mchawi na hata baadhi ya wanamember katika f | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafanya vp jamii ikiwa inamsonta baba yako ni mwanga/mchawi na hata baadhi ya wanamember katika f

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mayane, May 7, 2012.

 1. mayane

  mayane Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  utafanya vp ukisika tetesi kuwa baba yako mchawi

   
 2. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  sasa si tetesi tu tatizo liko wapi? Tuambie umepeta uvumi kuwa baba yako mchawi na wewe ukalithibitisha hilo. Hapo itakuwa rahisi kukushauri; hata hivyo kama itathibitika hivyo bado utaendelea kuwa mwanae (Mtoto wa mchawi).
   
Loading...