utafanya nn? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

utafanya nn?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by non mawarda, Jul 25, 2011.

 1. n

  non mawarda New Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeoa au umeolewa umeishi na mwenzio kwa miaka kazaa na mkajaaliwa watoto,cku moja uko namwenzako chumban ucku unamgundua kua co binadamu ni jini.je utchukua hatua gani?je Utaendelea na mahucano nae?
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siwezi kuhukumu kitu ambacho hakijatokea!
   
 3. wijei

  wijei JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 469
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  We utafanya nn
   
Loading...