Utafanya nini ukijua hela zako anatumia mwanaume mwingne?

Noooo tena big noooo! ingekuwa ni mimi ningemwachia vitu vyote endapo tu alishakuwa ni mke wangu tena ambaye tushakuwa na mtoto/watoto, na si huyo wakudanda.
Nakushauri chukua vyako lakini iwe ni kwa amani kabisa, usiwashe moto kwani mlipuko wake kwako unaweza kuwa mkubwa sana na ukakuletea madhara makubwa pia.
Ukute ameshapigwa kimbola cha mapenzi. Halafu nyie mnahangaika kumshauri, nawahakikishia kwamba hakika yenu ushauri mnaompa hautamsaidia.

USHAURI WANGU.

Brother! Nenda kapatane na muumba wako kisha tumia muda wa siku tatu au tano kujiweka safi na kumuomba MUNGU akufariji,akupe nguvu, na akuongoze ufanye maamuzi sahihi.
 
Ni kumfuata tu anayekula hela zako na kumjuza hizo hela anazokula ni zako ila anazipata kupitia mtu wa kati iwapo anataka kuendelea kuzifaidi hizo hela mtu wa kati atoke ili aingie yeye kuzitafuna hizo hela vizuri ila awe tayari kupoteza hazina yake ya marinda aliyoitunza miaka miaka
khaaaaaah
 
Hapo ni kukata mrija tu,maana mtu aliyezoea kupewa kwa kutumia uongo wake siku akistishiwa gafla huduma itamuuma zaidi kuliko wewe uliyegundua kuwa pesa zako zinaliwa na mhuni mmoja tu
 
Back
Top Bottom