Utafanya nini endapo ukigundua umewekewa dawa ya kunasiana na mchepuko?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Mtu anapokuwa ameoa au kuolewa; maana yake ameamua kutulia na mpenzi wake kihalali; lakini kutokana na tamaa, uaminifu katika ndoa limekuwa swala gumu sana;
Swali; Je, utafanyaje ikitokea Katika kuhangaika ukagundua au ukamuona mwenza wako kakuwekea dawa ya kunasiana pindi utakapochepuka? Kwanini utachukua maamuzi hayo? Je; kisheria kesi za kunasiana ni kosa la jinai?
 
Nyie kwa nn mnawapa wanawake nguvu ivi,..kwan akiliwa ndo imeamishwa,mwambie aioshe tu na wewe tafuna,...ila tafuta na wew kimeo chako tafuna tena shida IPI,
 
Mtu anapokuwa ameoa au kuolewa; maana yake ameamua kutulia na mpenzi wake kihalali; lakini kutokana na tamaa, uaminifu katika ndoa limekuwa swala gumu sana;
Swali; Je, utafanyaje ikitokea Katika kuhangaika ukagundua au ukamuona mwenza wako kakuwekea dawa ya kunasiana pindi utakapochepuka? Kwanini utachukua maamuzi hayo? Je; kisheria kesi za kunasiana ni kosa la jinai?
Uchawi hautambuliki kisheria hivyo sidhani kama kunaweza kupelekwa jalada mahakamani kwa muktadha huu.
 
Dawa ni kuacha kuoa /kuolewa kwanza ili uchepuke vizuri kisha amua kuoa/kuolewa utulie na mtu mmoja.
Pumba.fu sana weye
 
Back
Top Bottom