Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,681 Mar 12, 2017 #1 tukutane hapa jumatatu Chelsea 1-3 Manchester United Povu
ikhatibu JF-Expert Member Nov 14, 2013 2,422 2,377 Mar 12, 2017 #3 Haraka yote ya nini . Kuna uzi wa hizo timu. Tunajua wapi tutakutana wapenzi wa hizo timu
S suudy JF-Expert Member Jul 26, 2014 344 544 Mar 12, 2017 #4 Stamford bridge Man u hatoki akijitahidi apaki basi - aipeleke mechi Oltraford yaani atoe sare. Asilimia kubwa anatolewa Man u. Labda iwe bahati.
Stamford bridge Man u hatoki akijitahidi apaki basi - aipeleke mechi Oltraford yaani atoe sare. Asilimia kubwa anatolewa Man u. Labda iwe bahati.
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,681 Mar 12, 2017 Thread starter #5 ikhatibu said: Haraka yote ya nini . Kuna uzi wa hizo timu. Tunajua wapi tutakutana wapenzi wa hizo timu Click to expand... sasa mkuu huku ulikuja kufata nini??
ikhatibu said: Haraka yote ya nini . Kuna uzi wa hizo timu. Tunajua wapi tutakutana wapenzi wa hizo timu Click to expand... sasa mkuu huku ulikuja kufata nini??
Bavaria JF-Expert Member Jun 14, 2011 53,097 53,485 Mar 12, 2017 #7 Man Utd 2 - Chelsea 1. Mata and Pogba - Costa.
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,681 Mar 12, 2017 Thread starter #8 dimaa said: Ongea uhalisia , acha ushabiki ! Click to expand... uhalisia ni upi?? hebu weka uhalisia tuone
dimaa said: Ongea uhalisia , acha ushabiki ! Click to expand... uhalisia ni upi?? hebu weka uhalisia tuone
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,372 54,909 Mar 12, 2017 #10 Manchester naona anapigwa goli zaidi ya nne kwenye hii mechi
Alure JF-Expert Member Dec 27, 2014 1,100 1,053 Mar 12, 2017 #11 Hii game watu wengi wanampa nafasi chelsea ila naona chelsea akifa bila watu kuamini
Amadoli JF-Expert Member Sep 28, 2013 2,544 2,264 Mar 12, 2017 #12 Man utd anakula 5 nyauuuuu (5 kwa bashite)iyo kesho
dimaa JF-Expert Member Jul 30, 2016 4,143 5,609 Mar 12, 2017 #13 Snipes said: uhalisia ni upi?? hebu weka uhalisia tuone Click to expand... Chelsea vs man u ni ipi bora kwasasa?
Snipes said: uhalisia ni upi?? hebu weka uhalisia tuone Click to expand... Chelsea vs man u ni ipi bora kwasasa?
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,681 Mar 12, 2017 Thread starter #14 dimaa said: Chelsea vs man u ni ipi bora kwasasa? Click to expand... Chelsea
Mr_X JF-Expert Member Aug 27, 2015 1,170 2,338 Mar 13, 2017 #16 Mbona kila mtu anajua kama Mikhy anapeleka msiba leo London
Punnisher JF-Expert Member Jul 28, 2014 1,161 1,359 Mar 13, 2017 #17 man 2 chelsea1.....watakaofunga n....mata.....rushford...and costa...mm ni shabiki wa chelsea
mkale JF-Expert Member Sep 21, 2011 1,616 1,751 Mar 13, 2017 #18 man utd ana ratba ngumu kidg tofaut n chelsea ,apo nampa aslimia nyingi conte kuibuka mshindi leo.
Freyzem JF-Expert Member Jun 29, 2013 10,113 24,642 Mar 13, 2017 #20 Punnisher said: man 2 chelsea1.....watakaofunga n....mata.....rushford...and costa...mm ni shabiki wa chelsea Click to expand... Rushford majeruhi...
Punnisher said: man 2 chelsea1.....watakaofunga n....mata.....rushford...and costa...mm ni shabiki wa chelsea Click to expand... Rushford majeruhi...