Utabiri wangu miaka mitano ijayo

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,621
5,565
ONYO:
Kabla hujaanza kusoma hapa naomba usisadiki chochote hata kama kitatokea kweli:A S-frusty:
:behindsofa:

 • HABARI ZA KUKAMATWA NA KUFUNGULIWA KESI WANASIASA MAARUFU ZITASIKIKA SANA KUANZIA KABLA YA KRISMASI 2010 HADI JUNI 2012. PIA DALILI ZA VURUGU ZA HAPA NA PALE ZINAONEKANA KUJITOKEZA ZIKIAMBATANA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.
 • NJAA ITALIKABILI TAIFA HILI NDANI YA MIAKA 2 IJAYO, KWANI INAONESHA WAKULIMA WENGI WATAHAMIA KWENYE SIASA HUKU WANASIASA WAKIWA WAKULIMA!!
 • BENKI MAARUFU MOJA AU MBILI, TATU ZITAFILISIKA, KWANI HALI YA UCHUMI ITAKUWA MBAYA SANA KIPINDI CHA MIAKA MINNE IJAYO.
 • MNAMO 2014 MWEZI JULY KUTATOKEA ELNINO KWENYE CHAMA KIMOJA CHA KISIASA HALI ITAKAYOSABABISHA TETEMEKO KUU, HATA KUPELEKEA CHAMA HICHO KUSAMBARATIKA, HUKU IKIPATIKANA ACADEMIA NA CHIPOLOPOLO.
 • NDANI YA KIPINDI HIKI KUNA WANASIASA WATAAMUA KUWA WAKIMBIZI WA KISIASA UGHAIBUNI, NA VIJANA WALIOJILIPUA WATATAKA KUPATA SABABU YA KUBAKI HUKO KWA HISANI YA UNHCR!!!!
 • WALIO MADARAKANI WATATAKA KUBAKI MADARAKANI IWE IWAVYO, NA WALIO NJE YA MADARAKA WATAYATAKA KWA HALI NA MALI HALI HII ITAJITOKEZA MNAMO MWAKA 2015 MARCH NA KUENDELEA, LUGHA ZA KEJELI NA MATUSI ITAKUWA NDIO WAKATI WAKE.
 • TUTARAJIE MATUSI NA NGUMI KATIKA BUNGE LIJALO, HAPATAKUWEMO UVUMILIVU HATA CHEMBE...
 • NA KATIKA KIPINDI HICHI MNAJIMU MAARUFU HATOKUWAPO KUTABIRI TENA KWA MAANA..................................................
Hayo ndio maono yangu. niliposoma alama za nyakati...:thinking:
 
lm317

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
451
44

Inatokea kila wakati wa uchaguzi. Mwaka huu imewalazimu kuchakachua ili wabaki madarakani
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,621
5,565
Sasa kwani Sheikh Yahaya yuko peke yake?
hapana yu na bi Mkora:smile-big:

Basi mtakapoona vitu vinazidi kupanda bei kwa kasi na baadhi ya magari kuzuiliwa kutembea, ama kwa hiyari ya wenye nayo au kwa amri halali ya serikali basi hapo jueni ule mwisho umeanza kukaribia. Ole wao wale watakaokuwa wamejilimbikizia mali walizochuma kwa rushwa na zile njia ambazo sitozitaja hapa, watatamani vile vitambi vyao viwe mimba ili waweze kujifungua lakini hilo halitakuwa.....
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,621
5,565
sijui umepatia vileeeee hata sielewi
Wa Ndima, vigumu sana kuelewa sasa kwani wakati wake bado... utakapoona watu wanazidi kususa mikutano waliyoalikwa na muda mwingi kutoonekana baada ya kuonekana na kusikika kwao muda mrefu basi hapo ujue MSHINDO mkuu umekaribia:tape: hebu zingatieni tarehe kumi na moja mwezi disemba. kuna jambo hapo.
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,621
5,565
Udini, ukabila, kuvunjika kwa ubia na usoda vitaanza kujiambukiza toka eneo moja hadi jingine kama moto kichakani, na kabla ya kutulia kwa hilo, yataanza matukio ya kibaguzi baina ya wasomi na wasiosoma, matajiri na maskini... Ole wetu wakati huo wenye nyumba za mbavu za mbuzi... Kwani wale wenye hasira hawatachagua pa kumalizia hasira zao, kwani watakuwa wameshaisikiliza amri ya yule mkuu wao pasina kuijadili.. Utekelezaji wao ndio utakuwa mauti kwetu. Nani kasema somalia kuna machafuko? Itakuwa heri kwao kuliko hapa kwetu...

Uki-apply kazi itakuwa ukiulizwa maswali haya matatu:
We ni mtoto wa nani?
Kabila gani?
Dini gani?

Hapo ndipo wasiomjua mungu watakapomkumbuka......
 
Mwanamageuko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
8,621
5,565
ONYO:
Kabla hujaanza kusoma hapa naomba usisadiki chochote hata kama kitatokea kweli:A S-frusty:
:behindsofa:

 • HABARI ZA KUKAMATWA NA KUFUNGULIWA KESI WANASIASA MAARUFU ZITASIKIKA SANA KUANZIA KABLA YA KRISMASI 2010 HADI JUNI 2012. PIA DALILI ZA VURUGU ZA HAPA NA PALE ZINAONEKANA KUJITOKEZA ZIKIAMBATANA NA WANANCHI KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.
 • NJAA ITALIKABILI TAIFA HILI NDANI YA MIAKA 2 IJAYO, KWANI INAONESHA WAKULIMA WENGI WATAHAMIA KWENYE SIASA HUKU WANASIASA WAKIWA WAKULIMA!!
 • BENKI MAARUFU MOJA AU MBILI, TATU ZITAFILISIKA, KWANI HALI YA UCHUMI ITAKUWA MBAYA SANA KIPINDI CHA MIAKA MINNE IJAYO.
 • MNAMO 2014 MWEZI JULY KUTATOKEA ELNINO KWENYE CHAMA KIMOJA CHA KISIASA HALI ITAKAYOSABABISHA TETEMEKO KUU, HATA KUPELEKEA CHAMA HICHO KUSAMBARATIKA, HUKU IKIPATIKANA ACADEMIA NA CHIPOLOPOLO.
 • NDANI YA KIPINDI HIKI KUNA WANASIASA WATAAMUA KUWA WAKIMBIZI WA KISIASA UGHAIBUNI, NA VIJANA WALIOJILIPUA WATATAKA KUPATA SABABU YA KUBAKI HUKO KWA HISANI YA UNHCR!!!!
 • WALIO MADARAKANI WATATAKA KUBAKI MADARAKANI IWE IWAVYO, NA WALIO NJE YA MADARAKA WATAYATAKA KWA HALI NA MALI HALI HII ITAJITOKEZA MNAMO MWAKA 2015 MARCH NA KUENDELEA, LUGHA ZA KEJELI NA MATUSI ITAKUWA NDIO WAKATI WAKE.
 • TUTARAJIE MATUSI NA NGUMI KATIKA BUNGE LIJALO, HAPATAKUWEMO UVUMILIVU HATA CHEMBE...
 • NA KATIKA KIPINDI HICHI MNAJIMU MAARUFU HATOKUWAPO KUTABIRI TENA KWA MAANA..................................................
Hayo ndio maono yangu. niliposoma alama za nyakati...:thinking:
yametimia!!! Nasikia habari ya mjini sasa ni ACT!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom