Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,284
Mwaka mpya utakuwa mwaka wa nyoka, na kila jambo katika mwaka huo litaendana na sifa za nyoka mweusi
Tabia ya kunyatia ya nyoka itumie kufanikisha mambo yako. Weka mambo yako siri na kutekeleza kwa kushtukiza kama nyoka asakapo swala
Usisahau kumwaga sumu hapa na pale katika kuhakikisha unapata lako.
Kaa mbali na watu wa jinsia ya pili ambao wanakupaji kwenye kupiga zumari kwani wanaweza kukuteka na kufifilisha mipango yako
Nguo za Kijani zinazoashiria majani na za hudhurungi zinazoashiria mapango ni bora kwako. Usikose kuzungukwa na maji na ukimya katika kutakasa nyota yako