Utabiri wangu kuhusu Mkeka wa Baraza la Mawaziri!

Nionanvyo mie Mawaziri wafuatao kuna uwezekano wa kutokuwepo kwenye Baraza la Mawaziri.
1.Prof.Palamagamba John Idani Mwaluko Kabudi-Waziri wa Sheria.
2.Prof.Aldof Mkenda-Waziri wa Kilimo
3.Dr.Dotto Biteko-Waziri wa Madini
4. George Mkuchika

Nb.
1.Dr.Ashatu Kijaji Waziri wa habari,anaweza kuhamishiwa Wizara Mpya ya Maendeleo ya Jamii
2.Nnape atapewa Wizara ya habari tena.
3.kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka uwanda wa akina ngosha
4.Kutakuwa na igizo jipya la Waziri kutoka Mkoa wa Mara-hapa kuna uwezekano Makongoro Nyerere akateuliwa na kupewa Wizara ya Jaffo.
5.Kutakuwa na igizo jipya kutoka kwa sana chugga.
Kajifunze kuandika; eti kutakuwa na 'igizo jipya' kutoka Kanda ya akina ngosha. Unaelewa maana ya igizo?
 
Waziri mkuu ajae ni mh lukuvi
Nafasi hiyo ateuliwe Professa Asaad - mzalendo huyo ana exposure kubwa kwenye masuala mengi,hana hulka ya kujipendekeza,hana makundi, haogopi kusema ukweli - na kizuri zaidi ana uwezo mkubwa wa kufatilia kwa karibu miradi yote mikubwa nchini na kubaini mapema mambo ya ndio sivyo na kuchukua hatuwa stahiki bila ya kuogopa mtu. Professa Assad angekuwa msaada mkubwa kwa Madam President.
 
Lukuvi alituvuruga Mabwegere kwa tamaa zake!
Mkuu
Nafasi hiyo ateuliwe Professa Asaad - mzalendo huyo ana exposure kubwa kwenye masuala mengi,hana hulka ya kujipendekeza,hana makundi, haogopi kusema ukweli - na kizuri zaidi ana uwezo mkubwa wa kufatilia kwa karibu miradi yote mikubwa nchini na kubaini mapema mambo ya ndio sivyo na kuchukua hatuwa stahiki bila ya kuogopa mtu. Professa Assad angekuwa msaada mkubwa kwa Madam President.
Mkuu Nani kakwambia msema kweli nchi ya ahadi ananafasi!!?
 
Mkenda sidhani kama ana nafasi tena [ ile NONSENSE ni ishara tosha] arudi Rombo, akajifunze siasa kuwa kupanda lazima kuna watu umekanyaga mabega yao ndio kufika huko; ukisahau hilo ukafikiri huko umefika peke yako hatima yako ndio hiyo lazima utatemwa!! Amejisahau na huo uprofesa!!!
Rudia tena kuandika. Tena kapewa very challenging Ministry. Hongera Sana Prof Mkenda.
 
Back
Top Bottom