Utabiri wangu: Fainali ya UEFA champions league ni Kati ya Liverpool vs Ajax Amsterdam

Mkuu, utabiri wako ni kuwa mmojawapo wa hao wawili anaweza kuwa bingwa. Kama ratiba ya mtowano na mpaka fainali imetoka, ingeweza kuwa sawa. Lakini, wanaweza kukutanishwa mapema kabla ya kufika fainali. Hivyo, fainali wasikutane.
Mtoa mada hajielewi bora angesema mmoja wapo kuwa bingwa
 
When Ajax will meet the more physical sides they will be pushed to the threshold of saying farewell to the Europe's prestigious tournament. Let's wait and see.
 
Back
Top Bottom