Utabiri: Wabunge hawa wa CCM 2020 kutorudi tena bungeni

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wakati baadhi ya watu wakitabiri baadhi ya wapinzani kutorudi bungeni pia kuna ya watu tumetabiri kuna wabunge wa CCM wafuatao hawatorudi bungeni ifikapo 2020

1. Mwigulu Nchemba huyu jimbo lake litachukuliwa na Kitila Mkumbo

2. Harison Mwakyembe huyu jimbo lake litachukuliwa na Tulia ackson

3.Joseph Lusheku Msukuma huyu jimbo lake litachukuliwa na Paul Makonda

4. Juma Nkamia huyu jimbo lake litachukuliwa na Ngimba Acley ambae atakuwa ametoka CUF na kujiunga na CCM

5. Elibariki Kingu huyu jimbo lake litachukuliwa na Profesa Kabudi

Haya endeleea kutabiriii ni wabunge gani 2020 tutawakosa bungeni 2020
 
Hujui chochote kuhusu siasa za Tanzania

1.Tulia na kyela wapi na wapi ??

2.Makonda na Geita vijijini wapi na wapi ???

3.Prof. Kabudi na Singida Maghalibi wapi na wapi ??
 
Iwapo katiba itaruhusu mgombea huru, nimejipanga kwenda kumuondoa yule mmama wa ccm pale Korogwe mjini!
Sijui anaitwa nani yule maana tangu alipofariki Profesa Maji Marefu, wabunge wote waliopitishwa na ccm Korogwe mjini na vijijini, hata hawajulikani! Na faida yao nayo kwa jamii haijulikani!
 
Wakati baadhi ya watu wakitabiri baadhi ya wapinzani kutorudi bungeni pia kuna ya watu tumetabiri kuna wabunge wa CCM wafuatao hawatorudi bungeni ifikapo 2020

1.mwigulu nchemba huyu jimbo lake litachukuliwa na kitila mkumbo

2.Harison mwakiembe huyu jimbo lake litachukuliwa na Tulia ackson

3.Joseph kishaku msukuma huyu jimbo lake litachukuliwa na Paul makonda

4.juma nkamiaa huyu jimbo lake litachukuliwa jimbo lake ngimba acley ambae atakuwa ametea cuf na kujiunga na ccm

5.elibariki kingu huyu jimbo lake litachukuliwa na profesa kabudi

Haya endeleea kutabiriii ni wabunge gani 2020 tutawakosa bungeni 2020
Mtoa mada umejiandikia tu,hujui lolote kuhusu siaza za TZ
Makonda na Geita?
Makonda kwao ni mkoa wa Mwanza,anaenda kufanya nn Geita?
Tulia na Kyela wapi na wapi?
Tulia kwao ni Rungwe Mashariki kwa Bilionea Sauli Amon na hawezi mtoa Sauli ndiyo maana kaenda Mbeya kwa Sugu
Kabudi sio mtu wa Ikungi anaenda kufanya nn Singida?
Mbunge Kingu ataondolewa na mwana CCM anaitwa Nkambaku,katibu wa CCM mkoa wa Mbeya
 
Malafyale Kyela CCM Maoni ni yule Katibu Mkuu wa Ujenzi,nasikia Mwakyembe anakatwa kwa maelezo toka chato
 
Mtoa mada umejiandikia tu,hujui lolote kuhusu siaza za TZ
Makonda na Geita?
Makonda kwao ni mkoa wa Mwanza,anaenda kufanya nn Geita?
Tulia na Kyela wapi na wapi?
Tulia kwao ni Rungwe Mashariki kwa Bilionea Sauli Amon na hawezi mtoa Sauli ndiyo maana kaenda Mbeya kwa Sugu
Kabudi sio mtu wa Ikungi anaenda kufanya nn Singida?
Mbunge Kingu ataondolewa na mwana CCM anaitwa Nkambaku,katibu wa CCM mkoa wa Mbeya
Mwaka mpya na mambo mapya hivyo kuwa mpoleee tuuu
 
Ndugu Msela, ama kweli wewe huwatakii mema vyama vya upinzani haswa Chadema na ACT.

Sasa hao wakikatwa kwenye kura ya maoni, si watakimbilia vyama vya upinzani, nao wataona kama ni baraka na kuwapa fursa, na wangushwapo ndio nao wanajikita kwenye uongozi wa hivyo vyama.

MSELA una nia mbaya sana
 
Ungesema kwamba ccm tutaiba kura ili wachukue jumbo usiseme atachukua jimbo ! Kwani wizi mliachana nao nyinyiemu
 
Back
Top Bottom