Utabiri wa wimbo wa prof.jay umetimia"NDIO MZEE"

shilatu

Member
Apr 18, 2015
57
30
Mapema leo nikiwa nafuatilia mawazo ya msomi prof. sospeter muhongo aliweza kuongelea kitu kimoja kimoja kikubwa kwenye moja ya malengo yake nanukuu "nchi nzima nyumba zitakuwa na mabomba mawili, moja lamaji na la pili la gesi."

je huu sio ule unabii wa prof.jay kwenye kichupa chake cha NDIO mzee kuhuu mabomba ya maji na maziwa nchi nzima??
 
Back
Top Bottom