Utabiri wa wimbo wa prof.jay umetimia"NDIO MZEE"


S

shilatu

Member
Joined
Apr 18, 2015
Messages
57
Points
95
S

shilatu

Member
Joined Apr 18, 2015
57 95
Mapema leo nikiwa nafuatilia mawazo ya msomi prof. sospeter muhongo aliweza kuongelea kitu kimoja kimoja kikubwa kwenye moja ya malengo yake nanukuu "nchi nzima nyumba zitakuwa na mabomba mawili, moja lamaji na la pili la gesi."

je huu sio ule unabii wa prof.jay kwenye kichupa chake cha NDIO mzee kuhuu mabomba ya maji na maziwa nchi nzima??
 
A

Adrian Anthon

Senior Member
Joined
Sep 16, 2014
Messages
104
Points
225
A

Adrian Anthon

Senior Member
Joined Sep 16, 2014
104 225
hahaa,linatimia sasa.bora mwalimu atuongoze kuliko hawa madoctor na maprofesor
 
Desteo

Desteo

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Messages
494
Points
225
Desteo

Desteo

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2011
494 225
mmesahau na maziwa kilo 20
 

Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,732
Top