lukala
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 580
- 568
Kwa heshima na tazma napenda niwape pole cdm, kila nikiangalia napata ugumu kama cdm kama mnaweza kuchukua hata kata tatu kati ya 46 kwasababu zifuatazo
Kwanza kabisa hizo kata zimekuwa scattered na nyingi zipo kwenye ngome za ccm hivyo nyinyi kushinda ni ngumu, pia zilizopo kwenye ngome zenu ni chache hivyo kufanya viongozi wengi wa chama na serikali kuongeza nguvu hapo . Muda sio mrefu utasikia wanakuja kufungua miradi hapo Arusha.
Battle la pili ni democrasia na ulinzi wa maliasili, hapa sas kuna pambano lingine ambalo naona kabisa chadema mnaenda kupoteza hizo kata, kwasababu kipaumbele cha wananchi sio demokrasia bali ni ulinzi wa maliasili ,hivyo hata eneo hili linawapa credit ccm
Jambo lingine suala la Elimu ya uraia, hapa cdm kwasasa mmepigwa vibaya mno ile strategy yenu ile ya maandamano na mikutano iliwasaidia sana kuwaweka watu aware, ccm imegundua ikazuia mmekosa plan b sasa subirini matokeo ya udiwani ila msiseme mmeibiwa kura. Ccm mtaji wao mkubwa ni ujinga wa wapiga kura .
Sehemu nyingine cdm itaisababisha kuanguka vibaya uchaguzi huu, kukosekana watu wenye mvuto jukwaani, kila nikiangalia simuoni mtu ambaye mwenye nguvu jukwaan ukiachana na Mzee Lowassa lakini ni muoga au Tundu Lissu ambaye sasa ni mgonjwa. Wakati ccm kwasasa walopokaji ni weng licha ya hawapoint.
ANGALIZO KWA CDM
Mna kete pili ya kuwasaidia nyinyi suala la maafa na kauli zilizotolewa.
Jambo la pili jikiteni kwenye hoja za uchumi na utatuzi wake.
Asanteen
Kada mtiifu wa ccm kwasasa Tunduru