Utabiri wa uchaguzi kata 46

lukala

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
580
568
Kwa heshima na tazma napenda niwape pole cdm, kila nikiangalia napata ugumu kama cdm kama mnaweza kuchukua hata kata tatu kati ya 46 kwasababu zifuatazo

Kwanza kabisa hizo kata zimekuwa scattered na nyingi zipo kwenye ngome za ccm hivyo nyinyi kushinda ni ngumu, pia zilizopo kwenye ngome zenu ni chache hivyo kufanya viongozi wengi wa chama na serikali kuongeza nguvu hapo . Muda sio mrefu utasikia wanakuja kufungua miradi hapo Arusha.

Battle la pili ni democrasia na ulinzi wa maliasili, hapa sas kuna pambano lingine ambalo naona kabisa chadema mnaenda kupoteza hizo kata, kwasababu kipaumbele cha wananchi sio demokrasia bali ni ulinzi wa maliasili ,hivyo hata eneo hili linawapa credit ccm

Jambo lingine suala la Elimu ya uraia, hapa cdm kwasasa mmepigwa vibaya mno ile strategy yenu ile ya maandamano na mikutano iliwasaidia sana kuwaweka watu aware, ccm imegundua ikazuia mmekosa plan b sasa subirini matokeo ya udiwani ila msiseme mmeibiwa kura. Ccm mtaji wao mkubwa ni ujinga wa wapiga kura .

Sehemu nyingine cdm itaisababisha kuanguka vibaya uchaguzi huu, kukosekana watu wenye mvuto jukwaani, kila nikiangalia simuoni mtu ambaye mwenye nguvu jukwaan ukiachana na Mzee Lowassa lakini ni muoga au Tundu Lissu ambaye sasa ni mgonjwa. Wakati ccm kwasasa walopokaji ni weng licha ya hawapoint.

ANGALIZO KWA CDM

Mna kete pili ya kuwasaidia nyinyi suala la maafa na kauli zilizotolewa.
Jambo la pili jikiteni kwenye hoja za uchumi na utatuzi wake.

Asanteen
Kada mtiifu wa ccm kwasasa Tunduru
 
Uchumi haujawahi kumuacha mtu salama.
Salary slip ,with due respect , i respect as a greatest member of this forum. Cdm has only means to use that. Binafsi siipendi ccm jinsi inavyofanya mambo lakini pia sioni chama mbadala ya ccm.

Karibu Tunduru kwa sasa
 
Hoja ya wajinga hii.
Hongera kwa kutambua ujinga wetu, ila tuje hapa siku ya kutangaza washindi.
Ila pia wewe unawezekana ukawa mjinga kuliko hata sisi,

Napenda kukuuliza mara ngapi cdm mmesimama majukwaani kutuamishi sisi wananchi Lowassa fisadi?

Mara ngapi chaguzi hizi mmepigwa za uso na kuja hapa mkatoa sababu zisizo za msingi badala ya madai kwamba mmeibiwa kura?

Wewe kama think tank ya cdm ukiachana kuendeshwa ubongo wako na watu wachache kwanini usijiulize kwann watu waliokuwa wanapiginia chama leo hawapo au wamekaa pembeni kwann?

Swali la kiuzushi yuko wapi Mh Mnyika au Dk Slaa?

Ulishawahi jiuliza kwanin viongozi wako wa juu ukiwaguza tu unavuliwa uachama, jiulize nini kilimkuta Mtela Mwampapa, Juliona Shonza ,Zitto Kabwa, Kitilla Mkumbo.?
 
Huipendi ccm lakini unaandika kiccm?
 
I never do arguments with low minded people

Victory through arms, police and unpside turned results is only supported by fools.

If your are among of those who doesn't exercises free and fair election you must be a fool as well.
 
Frankly i would like to tell you as cdm, stil you are youngest in politics thats why you make unreasanable scandals that is one which shows kiddish arguments to the people
 
I never do arguments with low minded people

Victory through arms, police and unpside turned results is only supported by fools.

If your are among of those who doesn't exercises free and fair election you must be a fool as well.
Vp ndg mrejesho wa zile kata umezipata
 
Back
Top Bottom