Utabiri wa uchaguzi kata 46

lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
388
Likes
332
Points
80
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
388 332 80
Kwa heshima na tazma napenda niwape pole cdm, kila nikiangalia napata ugumu kama cdm kama mnaweza kuchukua hata kata tatu kati ya 46 kwasababu zifuatazo

Kwanza kabisa hizo kata zimekuwa scattered na nyingi zipo kwenye ngome za ccm hivyo nyinyi kushinda ni ngumu, pia zilizopo kwenye ngome zenu ni chache hivyo kufanya viongozi wengi wa chama na serikali kuongeza nguvu hapo . Muda sio mrefu utasikia wanakuja kufungua miradi hapo Arusha.

Battle la pili ni democrasia na ulinzi wa maliasili, hapa sas kuna pambano lingine ambalo naona kabisa chadema mnaenda kupoteza hizo kata, kwasababu kipaumbele cha wananchi sio demokrasia bali ni ulinzi wa maliasili ,hivyo hata eneo hili linawapa credit ccm

Jambo lingine suala la Elimu ya uraia, hapa cdm kwasasa mmepigwa vibaya mno ile strategy yenu ile ya maandamano na mikutano iliwasaidia sana kuwaweka watu aware, ccm imegundua ikazuia mmekosa plan b sasa subirini matokeo ya udiwani ila msiseme mmeibiwa kura. Ccm mtaji wao mkubwa ni ujinga wa wapiga kura .Sehemu nyingine cdm itaisababisha kuanguka vibaya uchaguzi huu, kukosekana watu wenye mvuto jukwaani, kila nikiangalia simuoni mtu ambaye mwenye nguvu jukwaan ukiachana na Mzee Lowassa lakini ni muoga au Tundu Lissu ambaye sasa ni mgonjwa. Wakati ccm kwasasa walopokaji ni weng licha ya hawapoint.

ANGALIZO KWA CDM

Mna kete pili ya kuwasaidia nyinyi suala la maafa na kauli zilizotolewa.
Jambo la pili jikiteni kwenye hoja za uchumi na utatuzi wake.Asanteen
Kada mtiifu wa ccm kwasasa Tunduru
 
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
1,295
Likes
1,536
Points
280
Jitu jeusi

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
1,295 1,536 280
Asante kwa taarifa
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,494
Likes
68,682
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,494 68,682 280
Uchumi haujawahi kumuacha mtu salama.
 
K

kasori

Senior Member
Joined
Sep 2, 2017
Messages
191
Likes
99
Points
45
K

kasori

Senior Member
Joined Sep 2, 2017
191 99 45
Naomba hii Iwekwe kwenye kumbukumbu (CDM hawapati kata hata moja)
 
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
388
Likes
332
Points
80
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
388 332 80
Uchumi haujawahi kumuacha mtu salama.
Salary slip ,with due respect , i respect as a greatest member of this forum. Cdm has only means to use that. Binafsi siipendi ccm jinsi inavyofanya mambo lakini pia sioni chama mbadala ya ccm.

Karibu Tunduru kwa sasa
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
8,192
Likes
4,410
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
8,192 4,410 280
Hoja ya wajinga hii.
 
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
388
Likes
332
Points
80
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
388 332 80
Hoja ya wajinga hii.
Hongera kwa kutambua ujinga wetu, ila tuje hapa siku ya kutangaza washindi.
Ila pia wewe unawezekana ukawa mjinga kuliko hata sisi,

Napenda kukuuliza mara ngapi cdm mmesimama majukwaani kutuamishi sisi wananchi Lowassa fisadi?

Mara ngapi chaguzi hizi mmepigwa za uso na kuja hapa mkatoa sababu zisizo za msingi badala ya madai kwamba mmeibiwa kura?

Wewe kama think tank ya cdm ukiachana kuendeshwa ubongo wako na watu wachache kwanini usijiulize kwann watu waliokuwa wanapiginia chama leo hawapo au wamekaa pembeni kwann?

Swali la kiuzushi yuko wapi Mh Mnyika au Dk Slaa?

Ulishawahi jiuliza kwanin viongozi wako wa juu ukiwaguza tu unavuliwa uachama, jiulize nini kilimkuta Mtela Mwampapa, Juliona Shonza ,Zitto Kabwa, Kitilla Mkumbo.?
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
6,139
Likes
8,779
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
6,139 8,779 280
Salary slip ,with due respect , i respect as a greatest member of this forum. Cdm has only means to use that. Binafsi siipendi ccm jinsi inavyofanya mambo lakini pia sioni chama mbadala ya ccm.

Karibu Tunduru kwa sasa
Huipendi ccm lakini unaandika kiccm?
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
8,192
Likes
4,410
Points
280
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
8,192 4,410 280
Hongera kwa kutambua ujinga wetu, ila tuje hapa siku ya kutangaza washindi.
Ila pia wewe unawezekana ukawa mjinga kuliko hata sisi,

Napenda kukuuliza mara ngapi cdm mmesimama majukwaani kutuamishi sisi wananchi Lowassa fisadi?

Mara ngapi chaguzi hizi mmepigwa za uso na kuja hapa mkatoa sababu zisizo za msingi badala ya madai kwamba mmeibiwa kura?

Wewe kama think tank ya cdm ukiachana kuendeshwa ubongo wako na watu wachache kwanini usijiulize kwann watu waliokuwa wanapiginia chama leo hawapo au wamekaa pembeni kwann?

Swali la kiuzushi yuko wapi Mh Mnyika au Dk Slaa?

Ulishawahi jiuliza kwanin viongozi wako wa juu ukiwaguza tu unavuliwa uachama, jiulize nini kilimkuta Mtela Mwampapa, Juliona Shonza ,Zitto Kabwa, Kitilla Mkumbo.?
I never do arguments with low minded people

Victory through arms, police and unpside turned results is only supported by fools.

If your are among of those who doesn't exercises free and fair election you must be a fool as well.
 
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
388
Likes
332
Points
80
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
388 332 80
I never do arguments with low minded people

Victory through arms, police and unpside turned results is only supported by fools.

If your are among of those who doesn't exercises free and fair election you must be a fool as well.
Frankly i would like to tell you as cdm, stil you are youngest in politics thats why you make unreasanable scandals that is one which shows kiddish arguments to the people
 
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
388
Likes
332
Points
80
lukala

lukala

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
388 332 80
I never do arguments with low minded people

Victory through arms, police and unpside turned results is only supported by fools.

If your are among of those who doesn't exercises free and fair election you must be a fool as well.
Vp ndg mrejesho wa zile kata umezipata
 
Forum statistics

Threads 1,250,504
Members 481,371
Posts 29,735,926