Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

however, si tz peke yake inayofanya uchaguzi mwaka huu. kuna nchi zingine nyingi tu africa hapa zinafanya uchaguzi mwaka huu.
 
however, si tz peke yake inayofanya uchaguzi mwaka huu. kuna nchi zingine nyingi tu africa hapa zinafanya uchaguzi mwaka huu.
Ni kweli kuna nchi nyingi za Afrika zinafanya uchaguzi, lakini kwa East Africa ni Rwanda, Burundi na Tanzania ndizo zinazofznya uchaguzi mwaka huu, Rwanda na Burundi tayari na marais wa zamani wamerudi tena kwa kishindo. Iliyobaki ni Tanzania
 
mimi nilota pia!
Kwamba slaa atashimda, ila atawekewa zengwe ikiwa ni pamoja na kuswekwa ndani kwa tuhuma za uchochezi.
Atanyanyaswa kama mandela , japo kwa muda mfupi, lakini mwisho watu mahiri wataingilia kati, tena bila umwagaji damu , aachiliwe.
Hapo atakabidhiwa nchi na kuiongoza kule tutakako.

Na nikaota, jk ameshika tama, haamini kinachotokea. Ameichukia jf kuliko chochote.
Niliota, na tazama nilimwona jk akisukuma gari kwenye matope, huku mikono yake ikiwa imechafuka. Nikamwambia kwamaba hiyo ndiyo hali ya watanzania wengi.
Si utani, nimeota hivyo, ama kwa ajili ya mabishano mengi ya kisiasa, au kama ni ndotu tu, sijui....
Ila:
Kwa yeye (jk) kuwapigia magoti wazee wa ccm yaani, mwinyi, mkapa, suamaye na mangula, ni wazi anajaribu kujitoa kwenye tope alilozama ndani yake. Ni vile nilivyoota akichafuka mikono na kukata tamaa....
Kuna uwezekano kabisa kwamba, kwa kuwarudia wazee, jk yuko matopeni....na hivyo anazidi kudidimiza jahazi, kwnai mbinu za hao wazee ,kamwe haziwezi endana na mbinu za kina miraji, riziwani, nk.....ni lazima kutakuwa na ubishani wa mikakati na hivyo kuididimiza zaidi matopeni ccm na watu wake.
Ni ndoto, ingawa ndoto zangu naamini kwa asilimia 90 plus!

na mimi nimeota jana lipumba akiapishwa kuwa rais wa jm wa tz kwa kipindi kingine cha miaka 5!!
Kila mtanzania aote tu!!!
 
Binafsi ninamkubali TB JOSHUA kama mtumishi wa Mungu. Alichotabiri naamini ni sawa na kitatokea. Nakumbuka Shetani kupitia kwa sheikh Yahaya naye aliwahi kusema ila bila kufafanua kuwa hakutakuwa na uchaguzi mwaka huu ila Kikwete atashinda. Ukiangalia kwa undani maneno yote hayo yanaonesha kuwa mchezo mchafu utafanyika na Kikwete ataendelea kutawala kwa nguvu ya Jeshi.Lets keep on praying!!!
 
Urasa vipi ndugu yangu, umeanzisha thread halafu unaulizwa chanzo cha taarifa umekitoa wapi hutupi ushirikiano. Ndo kusema????

Kwa mtazamo wangu, unabii huu ni wako binafsi ila umejitahidi sana kutumia style yake ya kutoa unabii. Hivi nani alikua na bendera ya Tanzania wakati wa unatolewa huo unabii??
 
Wadau, Nabii TB Joshua huwa hatabiri bali ANATOA UNABII. Unabii si utabiri, Unabii ni dhahiri ya mambo yajayo yanaoonwa leo kwa njia ya maono, Unabii si kupunga mapepo wa uchawi; Unabii si kusoma nyota au unajimu kama wa Shehe Yahaya.

Amos 3:7 tells us that God does nothing without first revealing it to His servants.(Hakika Mungu hatafanya jambo lolote bila kuwafunulia Watumishi wake). TB Joshua ni NABII na si Mtabiri-analoonyeshwa katika Ulimwengu wa Roho ndilo analolisema. Kitu muhimu hapa ni kumwomba Mungu atuepushe na roho ya umwagaji damu, awaepushie Watawala wetu na roho za dhuluma na uchakachuaji wa matokeo. Hapa yatupasa kuomba Mungu kwa ajili ya Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo maana huko ndipo unakoanzia uchakachuaji wa matokea na CCM huwapa adhabu za uhamisho wale Wasimamizi ambao hushindwa kuwasidia kushinda kama ilivyotea huko Karatu na hivi karibuni Arusha, kama ilivyotokea kwa Kamanda wa PCCB wa Kilimanjaro baada ya kumkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu huko Moshi kwa tuhuma za rushwa na mifano mingineyo.

Tuombe kwa ajili ya NEC Jaji Makame na Kiravu wasivamiwe na roho ya Kivuitu, tumwombee na Jaji Mkuu ili asikubali kuiga mfano wa mweznake wa Kenya aliyemwapisha Kibaki Ikulu ghafla. Watanzania tunapenda kuhudhuria sherehe za kumwapisha Raisi Uwanja wa Taifa na si vinginevyo.

Mbarikiwe!
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

urasa toa link yoyote au ushahidi wenye nguvu usilete statement nzito kama hii bila ushahidi
nime search google sijaona kitu kuhusu unachosema
 
Moja kati ya tabili za TB Joshua live Video hii hapa.

PAKISTAN PRIME MINISTER PLOT PROPHESIED BY TB JOSHUA

by TB Joshua The SCOAN (videos)
3:27

On 6th June 2010, Prophet T.B. Joshua gave a call to pray for the protection of the Prime Minister of Pakistan, prophesying that there would be a plot to kill him. On Thursday, 14th October 2010, it happened! News broke out that Pakistani police arrested a group of seven militants who plotted to kill the Pakistani Prime Minister, Yousuf Raza Gilani in an attack at his residence.

Stay tuned for the full confirmation of this prophecy coming soon on Emmanuel TV.


Click link to watch Video Videos Posted by TB Joshua The SCOAN: PAKISTAN PRIME MINISTER PLOT PROPHESIED BY TB JOSHUA | Facebook
 
Nilisoma humu kuwa TB Joshua alitabili kuhusu uchaguzi wetu watu wakapinga hii hapa video.

PAKISTAN PRIME MINISTER PLOT PROPHESIED BY TB JOSHUA

by TB Joshua The SCOAN (videos)
3:27

On 6th June 2010, Prophet T.B. Joshua gave a call to pray for the protection of the Prime Minister of Pakistan, prophesying that there would be a plot to kill him. On Thursday, 14th October 2010, it happened! News broke out that Pakistani police arrested a group of seven militants who plotted to kill the Pakistani Prime Minister, Yousuf Raza Gilani in an attack at his residence.

Stay tuned for the full confirmation of this prophecy coming soon on Emmanuel TV.


Click link to watch Video Videos Posted by TB Joshua The SCOAN: PAKISTAN PRIME MINISTER PLOT PROPHESIED BY TB JOSHUA | Facebook

Wewe vipiI? Tunazungumzia uchaguzi wa Tanzania wewe unatuletea habari za prime minister wa Pakistan!! ThinkPad are serious?
 
@ BUTOLA Wewe ni . . . . . .Watu walikuwa wanampinga sasa mimi nimeweka moja ya utabili wake ambao kaonyeshwa na Mungu sasa wewe kinakuuma nini? au wewe mgonjwa mimi lengo langu hapa na dhibitisha kuwa TB huwa anatoa tabili za kweli kutoka kwa Mungu wewe una akili kama jina lako lilivyo. uache kukurupuka kabla haujasoma vizuri uliza swali.
 
Mathew 7: 21 "Not everyone who says to Me, "LORD, LORD" shall enter the kingdom of heaven, but he who does the will of My Father in heaven.

Mathew 7:22 "Many will say to Me in that day, "LORD, LORD , have we not prophesied in Your Name, cast out demons in Your Name, and done many wonders in Your Name?"

Mathew 7: 23 "And then I will declare to them, "I never knew you; depart from Me, you who practice lawlessness!"
 
Mmmmh kwa upande wangu T.B Joshua namheshimu sana na utabiri wake ni wa kiroho zaidi sio wa kimajini kama wengine, anyway tumuombe Mungu atunusuru kwa kila kila jambo maana tunakoelekea watanznia sio kwema kabisaaaaaaaa.
 
@ BUTOLA Wewe ni . . . . . .Watu walikuwa wanampinga sasa mimi nimeweka moja ya utabili wake ambao kaonyeshwa na Mungu sasa wewe kinakuuma nini? au wewe mgonjwa mimi lengo langu hapa na dhibitisha kuwa TB huwa anatoa tabili za kweli kutoka kwa Mungu wewe una akili kama jina lako lilivyo. uache kukurupuka kabla haujasoma vizuri uliza swali.

Kabla ya kuweka tabiri ya TB Joshua kuhusu Waziri Mkuu wa Pakistani na ungeweza kuweka na ya Kujiuzuru kwa Musharafu, kuchaguliwa kwa John Atta Mills kuwa Rais wa Ghana baada ya kufanyika chaguzi mara 3, Ajali ya Ndege ya Rais wa Poland, Govana Goodluck Jonathan kuwa Rais wa Nigeria n.k zilizotimia ILIPASWA UDHIBITISHE KAMA KWELI TB JOSHUA ametoa utabiri kuhusu uchaguzi wa Tanzania, na kwa kuwa hajatoa utabiri kama huo, nashawishika kuwa umekurupuka!!
 
ninani asemaye jambo na kutimia kama bwana akuliamuru hivi ndivyo mtakavyomjua nabii wa uongo atoapo unabii kwa jina la bwana na kutokutimia
 
Back
Top Bottom