Utabiri wa T.B Joshua kuhusu uchaguzi wa Tanzania

Kwa wale wanaotaka kuongea na 'nabii' huyu contacts zake hizi na walete kwanza concrete evidene hatutaki utabiri wa 'hindsight' ... Just saying for the record, lakini siingili imani ya mtu, including wale wanaomwamini Sheikh Yahya .. yote ni freedom of religion and belief... :hand:

By e-mail:
info@scoan.org

Headquarters Address:
The Synagogue, Church Of All Nations
1, Segun Irefin Street
Ikotun Egbe
Lagos, Nigeria

Postal Address:
The Synagogue, Church Of All Nations
PMB 017, Ipaja Post Office, Lagos, Nigeria, West Africa

Office Numbers:
Tel: +234-(0)1-4713939; +234 (0) 8077679597
+234-(0) 8080800044

You can contact us on the following numbers for prayer
and counselling:
+234 (0) 8087492279
+234 (0) 8087492226
+234 (0) 8087492221
+234 (0) 7031265599
+234 (0) 7031307311
+234 (0) 8072546496
+234 (0) 8088096917
+234 (0) 8033730663
+234 (0) 7038616677
+234 (0) 7031265046
+234 (0) 8076767359
+234 (0) 8034147340
+234 (0) 1-8985507
+234 (0) 8033730650
+234 (0) 1 8194415

For Donation/Partnership Enquiries:
+234 (0) 7031265665
+ 234 (0) 7033056207
+ 234 (0) 7033056206
+ 234 (0) 8124914888
+ 234 (0) 8078626810
+ 234 (0) 7031265665
+ 234 (0) 8088009711

Numéro de tel pour la prière en français:
+234 (0) 8087492208

Número telefónico para oración en español:
+234 (0) 8125283478

Facebook Enquiry Number:
+234 (0) 7060575571

MPFC Contact Details:
mypeoplefc@live.com
+234 (0) 8132383659
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Ah! Mambo ya utabiri si huwaga yanakataliwa hapa?, haya yanatofauti gani na yale ya shekh Yahya?. Nabii gani!, washirikina wote hao.
 
It seems you guys mmeamua kutisha watu! Who is TD mjasiriamali kama kakobe et el, hacheni kutumia ujasiriamali wa watu kutukana dini nyingine kwani CHADEMA wanahitaji kura za dini zote na sio za wajasiriamali na wafuasi wao pekee.

Keep it in mind and do fair campaign na sio uhuni kwani swala la dini ni sensitive na mnaweza kusabisha mgombea kukosa kura za watu wa dini moja, waachie wajasiriamali wafufue wafu wao wapate mkate wa duniani wakti wanasubiria moto wa milele
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

"The weak have one weapon: the errors of those who think they are strong."
 
Amen! Na huu Ndiyo ule mwaka wa mabadiliko uliokubalika na Bwana! JK lazima aangukie pua!
 
It seems you guys mmeamua kutisha watu! Who is TD mjasiriamali kama kakobe et el, hacheni kutumia ujasiriamali wa watu kutukana dini nyingine kwani CHADEMA wanahitaji kura za dini zote na sio za wajasiriamali na wafuasi wao pekee.

Keep it in mind and do fair campaign na sio uhuni kwani swala la dini ni sensitive na mnaweza kusabisha mgombea kukosa kura za watu wa dini moja, waachie wajasiriamali wafufue wafu wao wapate mkate wa duniani wakti wanasubiria moto wa milele

Kwani prophet kasema CHADEMA watashinda au wapinzani? huu ndo tunaita uchonganishi.It might be TLP....who knows...
 
Leo mchana niliwaza kuhusu Nabii T.B Joshua kutabiri uchaguzi wa Tanzania;

Inaweza kuwa kweli, tumwombe Mungu atuepushie vurugu na uwizi wa kura.
 
Jamani hili jambo si la utani, Bado kuna matumaini mbele yetu! Angalia vizuri huo unabii.

Navyofahamu unabii huwa na sura mbili.

1. unabii wenye sura ya onyo (kuna hatua inahitajika kwa wahusika kuichukua)
2. unabii wenye sura ya taarifa(hata ukichukua hatua haisaidii)

Unabii huu wa TB Joshua ni wenye sura ya onyo( bring the flag of that country so that we pray for it!).

Hii ina maana watanzania wenye mapenzi mema wakichukua hatua kabla ya tukio mazingira yaweza kubadilika, na angalizo hapa ni kuwa haihitajiki nguvu ya mwili tu bali kubwa hapa ni maombi/dua kubwa inahitajika tena kwa kufunga na toba vilevile.
Mwenye nchi ni Mungu lakini anahitaji kushirikiana na wananchi wa tanzania kuufikia ukombozi wa kiuchumi tunaoutaka, na kama vile alivyowawezesha wantanzania wengi kuwa nia moja ya kuchagua upinzani kushinda, vilevile anahitaji kushirikiana nasi kuilinda kura na mwenendo mzima baada ya uchaguzi!

Hivyo tusiupuuze unabii huu bali tuufanyie kazi kwa kumpazia Mungu kilio chetu kwa kuomba na kufanya toba maana yeye ni muweza wa vyote(KIU YETU NI KIU YAKE).

Na ninaamini Upinzani(chadema) tutaongoza serikali mpya kwa nguvu ile ile ya Mungu iliyotuwezesha kushinda kwa njia kura kama unabii unavyodai! Muhimu hapa tusilale mpaka kieleweke!!!

Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:

CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Yale yale ya sheikh Hussein Yahya. Ni unajimu ule ule
 
Yaani mtu na akili zako unaamini hao ma pastor sijui manabii wa kipopo??Huyo nabii hana tofauti na sheikh yahya,wote waganga njaa tu
 
Mchungaji maarufu dunia Joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa NEC na haya ni maneno yake:

There is a country in East Africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

My take here:
CCM we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,

Urasa, Mabadiliko ninayahitaji sana, and i'm for change, lakini nina wasiwasi na hii prophecy if at all it is. Nimekuwa nafuatilia huduma ya T.B Joshua kwa ukaribu mkubwa na pia qualities za prophetic messages. ninachojua Mungu siyo wa machafuko na prophecy ni ujumbe utokao kwa Mungu through watumishi wake kama T.B Joshua kwenda kwa watu wake. Mungu hawezi kuleta prophecy itakayoleta chaos kwa watu wake. Katika situation kama hii unayotaka tuiamini Mungu hawezi kusema chama fulani kitanyang'anywa usindi kwa sababu anao uwezo wa kuzuia hali hiyo isitokee.

Pia siyo vizuri kumsingizia mtumishi wa Mungu kuwa ametoa prophecies wakati siyo kweli. Vinginevyo ungetoa source kama kubandika hapa video clip inayoonyesha akitoa prophecy unayodai ameitoa yeye.

Prophecies anazotoa Mtumishi wa Mungu T.B Joshua huwa anakuja kuzi-prove zinapotokea kwa kuonyesha wakati anatoa prophecy husika na inapotokea in physical realm. Hili unalodai wewe ni prophecy halithibitishiki kirahisi it is only under circumstantial evidence ambayo hai-prove kihivyo unabii wa Mungu.
 
Ni vigumu sana kuelewana kwenye hili jambo kwa sasa baada ya uchaguzi watu wengi watajua TB Joshua ni nani? kwa sasa kila mtu aendelee na anavyoona anataka kuabudu. Ninachojua kwa sasa ni kuwa Mungu wa wakristo ni tofauti na Mungu wa waislamu na mmoja kati yao ni Mungu wa kweli
 
Naona sasa tunakengeuka.
Simpingi aloleta taarifa, wala sina shida na alijochotabiri TB Joshua.
Tatizo langu ni Je, tunamfahamu vyema TB Joshua?

Ninachotaka tufahamu ni kwamba, ndani na nje ya Tanzania wapo mashujaa wa imani wanaofunga na kuomba kwa kuomboleza juu ya taifa la Tanzania. Hawa hawajaanza jana wala leo, ila ninachofahamu ni kwamba "usiku umeendelea sana na mchana umekaribia". Mungu anao mpango mkuu kwa Taifa letu hivi sasa...na haya mmeendelea kuyaona na mtayaona zaidi katika Uchaguzi huu. Hakuna hila yeyote itakayoshinda maombi ya watu wa Mungu katika taifa hili. Ninaamini wako manabii wa kweli katika taifa letu ambao mungu anawatumia na ataendelea kuwatumia..hawa hawapigi kelele kama watu wa mataifa na kama manabii wa uongo.

Angalizo: Zijaribuni kila roho, kwa maana si roho zote zatokana na Mungu. Kabla ya kuyaamini ya TB Joshua tuangalie kama kweli anaongozwa na roho wa Mungu ama ni yule roho wa upotofu atokaye kuzimu. Si busara kuipeleka bendera ya nchi yetu kwa mtu anayelitiliwa mashaka katika huduma yake kama TB Joshua...inaweza kuwa laana badala ya baraka.

[FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]"[/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]For [/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]false Christs[/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif] & [/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif]false prophets[/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif] will arise[/FONT][FONT=Helvetica, Arial, sans-serif] & will show great signs & wonders, so as to mislead, if possible, even the elect. Behold, I have told you in advance." (Math.24: 24, 25)[/FONT]
 
Joshua ni kiboko licha ya hizo shutuma juu yake ambazo bado hazijadhibitishwa ila alitabiri mambo mengi ya kweli kama Sept 11 na Urais wa Attamar wa Ghana, huyu Pastor anatumia maono toka kwa roho mtakatifu na Sheikh Yahaya anatumia majini na hapo ndipo tofauti kuu kati yao.Mwenye masikio asikie na mwenye ubongo aelewe kuwa unamtegemea Mungu au Majini.Mungu tunusuru kwa kila baya, TWAKUOMBA.Amen.
 
mchungaji maarufu dunia joshua ameonyeshwa kwenye maono yake uhuni wa nec na haya ni maneno yake:

there is a country in east africa, it has election this year,the opposition willwin but it wont rule, bring the flag of that country so that we pray for it!

my take here:
Ccm we want peace, tazama hata watumishi wa mungu wanaonyeshwa juu ya anguko lako,
tuwekee link yenye huo utabiri .jamni msije chuma dhambi kwa kuwasingizia watumishi wa mungu.ubarikiwe
 
Amini Amini nawaambia, MUNGU amewahurumia Watanzania, anataka kuwakomboa!
 
tuwekee link yenye huo utabiri .jamni msije chuma dhambi kwa kuwasingizia watumishi wa mungu.ubarikiwe

Hakuna atakayekupa link kwa sababu unabii huo haupo na haujawahi kutolewa na TB Joshua.

Naona watu wamejitungia na kuuaminisha uongo.
 
Back
Top Bottom