Utabiri wa Nyota kwa Mwezi huu Wote Umenishtua sana.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Kwa wale waliozaliwa
January - tabia yako ya hasira mwezi huu itakuponza.hata ukishikwa makalio au kuwekewa kitu sehemu zako za nyuma kwa lengo la kukupandisha hasira usikasirike. Tabasamu tu endelea na safari yako. Utakapojaribu hata kumpiga konzi mjaribu huyo utamwua na kujikita una kesi.

Mwezi February.
Endelea kutoa offer za beer kwa jamaa zako na wale unaokutana nao bar.jambo hili litakufanya ujitengenezee marafiki lukuki.ila uwe makini ukiishiwa pesa usiende waomba.maana hilo jambo litavunja urafiki wenu.

Mwezi March
Usiache kuhonga mademu.hii itakusaidia hata ukitaka penzi upate bila hivyo utaishia tu kuwa shemeji ya wanawake wazuri au kuitwa kaka.

Mwezi April.
Usiache kuvaa rangi nyekundu na njano kwa wakati mmoja hizi rangi zitakuletea furaha na huzuni.ili ku maintain hakikisha ukivaa shati jekundu suruali iwe ya njano.au shati njano suruali nyekundu.

Mwezi May.
Kuna msichana unamdate.ila una muda hujaweza mhonga pesa ya maana zaidi ya tsh 5000 tu. Mwezi huu atakuacha.la kufanya mwache yeye kwanza ili usiumize moyo wako ukija gundua anatembea na dereva wa boda boda.

Mwezi June.
Tegemea kuombwa pesa na mpenzi wako ambaye mmekutana week mbili zilizopota.atakwambia ana tatizo kubwa ili kuepuka wewe kuombwa pesa muda huu muwahi mwambie akuazime 500,000. Imepungua katika mil 15 uliyo nayo unayotaka kuagizia gari. Hapo atakwambia hana ila ataendelea kuwa na wewe. Bila hivyo atakuomba na ukishindwa kumpa atakutukana na kukuzimia simu.utakosa raha kwa muda mrefu.

Mwezi July.
Rekebisha mambo ya nyumbani kwako. Mkeo amechoka na tabia zako za ulevi uliokubuhu na kulala na machangudoa na dada wa kazi.atagundua unatembea na muuza bar ya hapo jirani.ataondoka home kumpata itakuwa issue.

Mwezi August
Tabia yako ya kupenda ngono itakuponza.hasa ya kutembelea rim.utakutana na msichana ameathirika.acha ujinga wa kupenda kunyonya uchi ili uonekane fundi.utapata vidonda kwenye ulimi na midomo na pia utaambukizwa ngoma.

Mwezi september.
Tabia yako ya kuforward videos za ngono mwezi huu usifanye hivyo. Utamforwardia mama mkwe wako videos tatu za ngono.suala hili utakuja kugundua baada ya siku mbili kupita.ukimpigia simu mama mkwe wako atakuwa amekublock.

Mwezi October
Acha ukuwadi. Unayemfanyia ukuwadi atakutwa na jambo baya huko anakoenda kupigwa miti.katika hilo jambo nawe utatajwa kuwa ndiyo chanzo.

Mwezi November
Usikae karibu na mabaharia... Waepuke tu kwa usalama wako.

Mwezi December
Utapokea simu nyingi na texts za salamu toka kwa jamaa ambao wengine mlipotezana kitambo sana.wakikusalimia tu wajibu una hali mbaya sana.unauguza,unadaiwa kodi ya nyumba,hujala muda mrefu,we mwenyewe unatamani kujiua tu,mkeo anataka kutoroka,mtoto wako anaumwa kufa,demu wako kakutosa au mumeo ana week hujamwona home.ukishasema hayo mwambie akusaidie hata 300,000. Ukimwambia hayo hatokwambia habari za mchango wa harusi/send off yake. Na namba yako ata delete.baada ya hapo endelea na maisha yako

Huu ni utabiri kwa mimi nliyesoma na kukubuhu elimu ya mwezi.wengi wanafanikiwa na kuka kushukuru kutokana na tabiri zangu za bure.
 
Duuuh ww jamaa ni noma umeamua kuchomoa betri hiyo Dec ndio mpango mzima..hakuna kutoa hela kibwege bwege tu..




























Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
Back
Top Bottom