Utabiri wa Mwl. Nyerere na Prof. Kabudi


Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
2,563
Likes
1,830
Points
280
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
2,563 1,830 280
Mwl. Nyerere alikuwa na maono ya kipekee sana. Mambo mengi aliyoyaongea miaka mingi iliyopita yametokea na mengine yanaendelea kutokea. Moja ya jambo alilolisema na kutokea ni hili lililosimuliwa na Prof. Kabudi wakati wa mdahalo wa katiba 4 Aug 2014. Na haya ndiyo aliyosema Prof.Kabudi;
Na ndiyo yanayonifanya nimalize kwa kuyakumbuka maneno ya mwalimu mwaka 1993 nikiwa Berlin mwanafunzi, amekuja kumzika Willy Brandt, Willy Brandt! Tumekusanyika... alikaa... yeye na Kaunda walikaa... marafiki wakubwa wa Willy Brandt. Tukaa.. dada mmoja sitamtaja jina leo, akamuuliza, "mwalimu huko nyumbani mmeruhusuje vyama vyingi, wakati walio taka ni wachache?" Mwalimu akamtazama akacheka... akasema, "binti! We si unaishi hapa Berlin si umemuona Ceaușescu, wametungua Helicopter eh, ikadondoka eh, wakamuua yeye na mke wake... wakavuta maiti, ni kwasababu Ceaușescu alisubiri wanaomkataa wawe wengi, wakamtungua!"
.

Nimekumbua maneno haya baada ya kusikia yaliyotokea zimbabwe, kama vile yalivyotokea Libya, Egypt, Yemen, Syria, Bahrain na Ivory coast miaka ya nyuma.

Je ni mambo gani mengine mwalimu alitabiri nakuja kutokea?
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,268
Likes
11,748
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,268 11,748 280
Kile kichwa kilikua kinajishughulisha sana na issues. Alisoma kila andishi lililopita mbele yake na bila kujali upuuzi aunumakini wa hilo andiko yote aliyatafakari kwa kina sana
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
27,278
Likes
30,647
Points
280
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
27,278 30,647 280
Hakuwa anasoma yale yaliyo andikwa fent fond kuhusu yeye pekee Bali issues
 
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
6,128
Likes
698
Points
280
G

Getstart

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
6,128 698 280
Je ukimuuliza huyo professor atayasema hayo sasa?
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,662
Likes
5,559
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,662 5,559 280
Zilipendwa...sasa hivi sina hakika kama atalikiri hili! Mcawi mpe mwanao!
 
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
11,685
Likes
6,754
Points
280
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
11,685 6,754 280
Mwalimu alikuwa anasoma, anatafuta habari, anajifunza, hakuacha ku analyse mambo

alikuwa mwingi wa ujuvi, hakujifanya anajua bila references
Wa sasa sijui anasoma vitabu gani maana Dah!
 
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2008
Messages
10,407
Likes
5,796
Points
280
Lambardi

Lambardi

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2008
10,407 5,796 280
Wa sasa sijui anasoma vitabu gani maana Dah!
Anashabikia shilawadu atakuwa serious kw kwenye kufuatilia issues?? Asingeweza kusema Saddam ni wa Libya!! Au Kuwait.....!!! Alisukumiziwa tuuuu
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
15,225
Likes
7,690
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
15,225 7,690 280
Utabiri wa Mwalimu utatimia hapa Tanzania, kwani watu wanaoichukia CCM wanaongezeka kila uchao, wakubwa wanajaribu kuwaziba watu midomo wasiseme ukweli lakini ukweli huo unaendelea kukua ndani ya mioyo ya watu kitu ambacho bunduki na mabomu haviwezi kuuzuia.
 
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
744
Likes
222
Points
60
G

gongolamboto

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
744 222 60
Kaulize upate jibu kijana. Unajua hata bei ya vitabu wewe? Umewahi kuingia bookshop katika maisha yako?
Ungeakuwa unasoma usingelialia hovyo hapa. Wanaolia lia wote ni kula kulala tu. Hawajasoma, hawasomi hawafanyi kazi na pesa hawana. Wewe ni mmoja wao
 
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Messages
4,620
Likes
5,344
Points
280
Konsciouz

Konsciouz

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2015
4,620 5,344 280
the irony of pole pole speaking about "UNAFIKI"
na huyo prof nae miyeyusho sana.
 
M

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Messages
225
Likes
136
Points
60
M

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2015
225 136 60
Mwl. Nyerere alikuwa na maono ya kipekee sana. Mambo mengi aliyoyaongea miaka mingi iliyopita yametokea na mengine yanaendelea kutokea. Moja ya jambo alilolisema na kutokea ni hili lililosimuliwa na Prof. Kabudi wakati wa mdahalo wa katiba 4 Aug 2014. Na haya ndiyo aliyosema Prof.Kabudi;

.

Nimekumbua maneno haya baada ya kusikia yaliyotokea zimbabwe, kama vile yalivyotokea Libya, Egypt, Yemen, Syria, Bahrain na Ivory coast miaka ya nyuma.

Je ni mambo gani mengine mwalimu alitabiri nakuja kutokea?
Huyu si ndio waziri wa sasa wa Katiba na sheria?. Mbona matendo yake ya sasa hayaendani na maneno yake ya wakati huo.
Au ndo utapeli uleule tunaofanyiwa na wasomi wetu wanapokuwa na njaa wanapiga kelele sana kuikosoa serikali wakionjeshwa kimya serikali inakuwa malaika
 
alberaps

alberaps

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
1,545
Likes
881
Points
280
alberaps

alberaps

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
1,545 881 280
Wa sasa sijui anasoma vitabu gani maana Dah!
We Sasa anapitia Font Fed kuangalia kama Bashite kaandikwa. Akikuta hajaandikwa anashikwa hasira na kupiga simu kwa wahariri. Huku akiamuru kuvunjwa kwa majengo
 

Forum statistics

Threads 1,237,957
Members 475,774
Posts 29,307,847