Utabiri wa Martin Luther King kwa Dr John Pombe Magufuli

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,644
2,000
Martin Luther King, Jr., speaking to students at Barratt Junior High School in Philadelphia on October 26, 1967, where he delivered his speech "What Is Your Life's Blueprint?"

Hii speech ya what is your life blueprint ina msg nzito sana kwa watanzania na hasa kwa kile kinaendelea kwenye taifa etu pitia rais wtu mpendwa wa Jamuhuri ya Muungano. Kiukweli ukiiisikiliza kwa umakini unaweza kuhisi uwenda rais wetu amewahi kuisikiliza ama Martin Luther King alikuwa akimtabiria vile anweza kuwa.
Nimependa sana kwenye ile sehemu anasema katika kila kazi utapata nafasi kuifanya ama kuwatumikia watu basi fanya kitu ambacho hakuna mtu mwingine ataamini, akaenda mbali na kumtolea mfano mfagiaji wa barabara akaseme kama wewe kazi yako nikufagia barabara basi fagia bara bara mpaka wapitaji wakipita weseme huyu alie fagia hapa sio wakawaida yani ing'ae na watu washangae

Ras wetu mpendwa siku zinakuja uwenda asiwepo Rais kama yeye na uwenda taifa litajenga sanmu kubwa kumkumbuka kwa maana hatokuwepo na wala hakuna wakufanana naye amejitoaa kwa taifa lake na amedhamiria kuacha blue print ktk maisha ya watanzania wote na kizazi chote.
Huyu sio kiongozi wakawaida na kama taifa kweli tunania ya dhati kusonga mbele na kuwa na taifa imara Rais huyu ni lulu kwa watanzania. Mungu amlinde na kumtia nguvu milele. amen
 

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,050
2,000
Blue print imeshawekwa na CCM. Hakuna walikosaini mkataba pakabaki salama!!
 

Jodoki Kalimilo

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,476
2,000
Aisee...nchi zingine zinatengeneza mfumo mzuri wa kufanya kazi alafy rais kazi yake kusimamia ...sie bado tupo katika hatua ya tumuunge mkono rais wetu alafu anaesema hivyo ni waziri ambaye anatakiwa atoe dira ambayo itamsaidia Rais
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom