Utabiri: UEFA-Liverpool, UEROPA-Arsenal, EPL-Manchester City

Uko vizuri lakini kumbuka mpira hudunda nobody gave a chance to Liverpool to beat BARCA 4-0 and nobody gave a chance to Tottenham to beat Ajax 3-2 after being down
2-0 after halftime.

Huo ndo utabiri wangu. Klabu bingwa Liver anabeba, Ueropa Arsenal anabeba (Chelsea ni cha mtoto) na EPL nampa Man City.

Tukutane msimu ujao
 
Huo ndo utabiri wangu. Klabu bingwa Liver anabeba, Ueropa Arsenal anabeba (Chelsea ni cha mtoto) na EPL nampa Man City.

Tukutane msimu ujao
usiombe ukutane na the blues fainali wewe....acha kuota, arsenal anakufa...hana mentality ya ubingwa
 
Utabiri wa bingwa wa EPL ulikuwa rahisi sababu game ilibaki moja na ushindi kwa man city ulitosha kuwapa ubingwa

Tatizo lipo kwenye fainali
 
usiombe ukutane na the blues fainali wewe....acha kuota, arsenal anakufa...hana mentality ya ubingwa
Angalia hapa..... labda macho yako yataona kama yangu.

2002 FA Cup final Arsenal 2 Chelsea 0
2007 Football League Cup Final Chelsea 2 Arsenal 1
2015 FA Community Shield Arsenal 1 Chelsea 0
2017 FA Cup final Arsenal 2 Chelsea 1
2017 FA Community Shield Arsenal 4 Chelsea 1 penalties
 
Liver watafuta kamasi staili ya mtoto mdogo kombe likichukuliwa na Tottenham Hotspurs
 
Mm ni liverpool damudamu ila sitaki mtupangie hapa tumefika kwa jitiada zetu kwahyo tupo tayali kupokea matokeo yoyote, tufungwe na spurs ama tushinde nisisi tu. Tenda sitaki tupangiane matokeo kabisaaa.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom