Utabiri: Tundu Lissu kupewa tuzo ya Nobel & Mo Ibrahim ya Mwanademokrasia Bora kuwahi kutokea Kusini mwa Sahara

TUZO ITAKUWA POA ITAKUWA CHACHU KWA WANAHARAKATI WENGNE WALIOPO NDANI NA NJE YA NCHI
 
Kwa haya yaliyo mkuta TL na harakati zake zinazoendelea bila uoga naona Lisu akiwa mtu mahiri afrika na tuzo zitamiminika maana ndie Mzalendo mwafrika wa Tanganyika yupo tayali kufa kwa ajiri ya wa Tanzania.

Lisu asipuuzwe Serikali ikae nae mezani ana hoja nzito za kusaidia taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo siyo utabiri , ni mpango kamili mjomba
 
Kwa haya yaliyo mkuta TL na harakati zake zinazoendelea bila uoga naona Lisu akiwa mtu mahiri afrika na tuzo zitamiminika maana ndie Mzalendo mwafrika wa Tanganyika yupo tayali kufa kwa ajiri ya wa Tanzania.

Lisu asipuuzwe Serikali ikae nae mezani ana hoja nzito za kusaidia taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
MO Ibrahimu tuzo yake inatolewa kwa Marais wastaafu waliofanya vizuri ndugu....
 
Kwa haya yaliyo mkuta TL na harakati zake zinazoendelea bila uoga naona Lisu akiwa mtu mahiri afrika na tuzo zitamiminika maana ndie Mzalendo mwafrika wa Tanganyika yupo tayali kufa kwa ajiri ya wa Tanzania.

Lisu asipuuzwe Serikali ikae nae mezani ana hoja nzito za kusaidia taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Left to tell....!
tapatalk_1549279216902.jpeg

Jr
 
Back
Top Bottom