Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani.
Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni daktari itakuwa 'too naive' na kutokujitendea haki kudhani kuwa hajui wala hawajui nini cha kufanya kuuzuia na kuutokomeza ugonjwa huu.
Haya ya uchaguzi mkuu kuwa uko palepale ni geresha tu katika jitihada za kutupatia cha kuongelea wakati April anasubiriwa kwa hamu mno aje.
Hapa tulipo ni vyema kujua kuna kinachosubiliwa tu (ambacho ni top secret). Mara kitakapojiri jitihada za kumdhibiti na kumtokomeza kirusi huyu ndipo kitaanza sasa.
"Cha kusikitisha tu ni kuwa katika hii subiri subiri kuna watu itawagharimu maisha pia gharama zitakuwa kubwa zaidi", anasema Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika kusini.
NB: Huu ni utabiri tu pasi na kuwa Kibwetere wala Mwampesa.